Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Unaongelea sm? Tafuta hela ndg watu tunahonga gari&apartment na biashara we unaongelea sm!

Sm utahonga na hata zaid ya hapo ila ni kutokana na uwezo wako
Kila mtu anaishi kulingana na uwez wake na pia anapata wanawake walevel yake

Wewe wa level yako ni hao ulionao ila jinsi kipato chako kitakavyozid kupanda ndo pia wanawake utakaopata level yao itakuwa juu na pia vitu vya kuhonga vitakuwa juu kulingana na uwezo ndg


Unahonga elf 20 sababu ndo level yako ya uchumi

Yule anahonga mil 20 sababu ndo uwez wae wa kiuchumi
 
Habarini wana jamvi.

Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.

Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.

Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.

Nb: Shtuka shtuka ba mdogo kuhonga simu undezi huo.
wee! ongea taratibu wasikusikie raha ya mwnaume kuhonga ndugu.
unaweza kuwa sahihi huwezi kuonga simu kwakuwa watu watatumia simu hiyohiyo kukugongea basi honga ata kagari mtanunua wote mafuta.
 
Kuna muhuni aliniletea kiswaswadu cha nokia obama nyuuu kwa elfu 7 kiwango cha oale lumumba.. Akaja mwali analialia anataka simu nikampa, nikala mzigo, kwake ni simu ila kwangu ni elfu 7.

Kuna dogo alileta tecno nyu nyuu hivi akaweka kwa elfu 4 muda ukapitiliza hajagomboa, akaja mwali analia hana simu nikampa, nikala mzigo kwake ni simu ila kwangu ni elfu 4.

[emoji41]
[emoji39][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]Makaveli Mungu anakuona

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom