Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Watu wamehongwa vyeo tena ukuu sijui wa nini itakuwa simu we dogo bana hujielewi kabisa labda kwa level yako ndio utaona hatari
 
Habarini wana jamvi.

Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.

Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.

Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.

Nb: Shtuka shtuka ba mdogo kuhonga simu undezi huo.
Mtu unamnunulia simu ya bei malaya halafu inamsajiria na line kabisa kwa kitambulisho chako kisa yeye hajapata namba ya Nida halafu mwisho wa siku simu hiyo anatumia kuwasiliana na ex wake na masela wengine mpaka anajipiga picha za ajabu anamrushia msela mbaya zaidi kwenye hiyo simu namba yako wewe amesave bila jina au hajasave kabisa ila ameikariri halafu amesave watu wengine kwa majina kama My, Love, Sweetheart, Only one, nk.
Hapo ndo utajua kila mlia msiba ana lake
 
Hamjamuelewa. Anachoongelea sio thamani ya simu. Anaweza kuhonga hata sh milioni 2 pesa taslimu lakini sio kumnunulia mwanamke simu ya laki 2. Yaani anahisi atakuwa anamrahisishia mawasiliano na wanaume wengine. Inauma simu umenunua wewe halafu hiyo hiyo inatumika kuwasilianana na wanaume wengine.
Mie nilishanunulia jitu simu na kulisajiria line halafu likaja kuwa linaniblock linaenda halafu likimaliza linaniunblock hii midemu ya siku hizi hasara tu
 
Mkuu tutafute hela ....

Kuna dem mmoja ni rafiki yangu maana hua anakuja ofsin nimfanyie kazi zake yaan macho matatu ilipo toka tu alinunuliwa juzi tena kanunuliwa samsung s21 nikajiuliza hivi sisi tunatumia vi samsung m50 na infinix note 7 Tumekwamwa wapi yaan mtu anahonga simu ya milion 2 na zote mbili km milion 5.

Acha tuisindikize dunia tu mkuu.
 
Mie nilishanunulia jitu simu na kulisajiria line halafu likaja kuwa linaniblock linaenda kutombwa halafu likimaliza linaniunblock hii midemu ya siku hizi hasara tu
Pole mkuu huu mchezo auitaji hasira[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu wagumu kuelewa , mtu kushindwa kukuhonga simu haimaanishi hawezi kwa sababu ya gharama , kiuhalisia niko radhi nihonge 300k kuliko nihonge simu ya 18k .
Nb: kuna wajanja wataelewa
 
Kuna muhuni aliniletea kiswaswadu cha nokia obama nyuuu kwa elfu 7 kiwango cha oale lumumba.. Akaja mwali analialia anataka simu nikampa, nikala mzigo, kwake ni simu ila kwangu ni elfu 7.

Kuna dogo alileta tecno nyu nyuu hivi akaweka kwa elfu 4 muda ukapitiliza hajagomboa, akaja mwali analia hana simu nikampa, nikala mzigo kwake ni simu ila kwangu ni elfu 4.

[emoji41]
 
Back
Top Bottom