Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna muhuni aliniletea kiswaswadu cha nokia obama nyuuu kwa elfu 7 kiwango cha oale lumumba.. Akaja mwali analialia anataka simu nikampa, nikala mzigo, kwake ni simu ila kwangu ni elfu 7.

Kuna dogo alileta tecno nyu nyuu hivi akaweka kwa elfu 4 muda ukapitiliza hajagomboa, akaja mwali analia hana simu nikampa, nikala mzigo kwake ni simu ila kwangu ni elfu 4.

[emoji41]
Duuh genious wewe aiseee
 
Unakula Kwa urefu WA kamba yak,kam unazo honga tu watapigiwa wenzio kupitia hiyohiyo simu , duniani fujo tu
 
Kwani hata ukimpa pesa si atanunua tu simu...

Au mbaya zaidi ataenda mnunulia simu buzi wake mwingine
 
Habarini wana jamvi.

Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.

Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.

Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.

Nb: Shtuka shtuka ba mdogo kuhonga simu undezi huo.
Mkuu nimekuelewa sana.
 
Kaka madenge na EINSTEIN112 mna maoni gani
 
imgres.jpg
hii ntamuazima kwa masilianoyangu na yeye akizingua nasepa nayo
 
Back
Top Bottom