Kuna vitu vya kukimbilia lakini sio kuoa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ni heri uchelewe kuoa uje uoe uzeeni uishi kwa amani kuliko kujifanya unapiga Shortcut unaibuka na hii miguberi ya Wantanshi na Elements, wanajifanya Corporate girls, Wife material, kumbe manyau tu yanaekti kuliko Denzel Washington.

Unakurupuka unaoa kisa washkaji wanakwambia umri umeenda, kumbe umeoa Parking ya Gesti, kila mtu anapaki haina mwenyewe.Kuoa sio ishu, umemuoa nani hilo ndo swali...Mijanamke iko mingi kama vumbi stoo, Wanawake wako wachache sana kama bikira Uwanja wa Fisi.

Omba sana, ukitumia Macho yako, Tamaa, na Presha za ndugu na marafiki utaishia kuusikia Uzee kwenye Taarifa ya habari ya TBC 1...

Kwa hisani ya wachaga waishio Arusha
 
Unaweza ukachelewa kuoa ukaoa type ya wanawake ambao ni retired ya hao uliowataja hao hao ....

Hii kitu haina formula, I think with God, mambo yote huwa sawa!
 
Aiseeeeeeee
 
Unaweza ukachelewa kuoa ukaoa type ya wanawake ambao ni retired ya hao uliowataja hao hao ....

Hii kitu haina formula, I think with God, mambo yote huwa sawa!
Hahahahah but kama ali-retire inakuwa afadhali zaidi kuliko kipindi yupo hot on peak
 
Unaweza ukachelewa kuoa ukaoa type ya wanawake ambao ni retired ya hao uliowataja hao hao ....

Hii kitu haina formula, I think with God, mambo yote huwa sawa!
duuu,nimejikuta nacheka peke yangu
 
Ngoja nikupe vigezo vya kuoa mke Jf maarufu:

reception nzuri
Awe na chura
Awe na bunduki
Awe ni muelewa mwenye upeo
Mrefu wa wastani
Awe na mapenzi ya dhati
Ajitambue
Awe na uwezo wa kuchanganua mambo.
Awe na elimu angalau isipungue form 4.
 
Wamekusikia
Zakuambiwa watachanganya na zakwao
 
Very true mkuu ,hii miguberi inayopenda starehe kwa kujidai ni utandawazi imewapeleka watu wengi kwenye early grave/premature Death.Ni vizuri kuomba mungu atusaidie kupata mke sio jinamke.
 
Ngoja nikupe vigezo vya kuoa mke Jf maarufu:

reception nzuri
Awe na chura
Awe na bunduki
Awe ni muelewa mwenye upeo
Mrefu wa wastani
Awe na mapenzi ya dhati
Ajitambue
Awe na uwezo wa kuchanganua mambo.
Awe na elimu angalau isipungue form 4.
Bunduki tena ???? Duuuuh
 
Ishu sio kuwa au kuchelewa ishu ni kuoa ktk mapenzi ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…