Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kweli asee ukavamia majukumu unazeeka mapemaNi almost miaka mitatu nimeondoka mtaa niliokulia, kuna madogo niliwaacha kama miaka 6,7 hivi ila nimekuta wameshazalisha vibinti na kuishi navyo kwa maisha ya kuungaunga sana na ya mashaka hadi sura zao zimezeeka kwa majukumu wasiyoyaweza, nimestaajabu sana.
He hee umemaliza kwa mujibu wa MMUNgoja nikupe vigezo vya kuoa mke Jf maarufu:
reception nzuri
Awe na chura
Awe na bunduki
Awe ni muelewa mwenye upeo
Mrefu wa wastani
Awe na mapenzi ya dhati
Ajitambue
Awe na uwezo wa kuchanganua mambo.
Awe na elimu angalau isipungue form 4.
Tena la LE MBURURAZISHATI la lemutuzz au?