Kuna vitu vya kukimbilia lakini sio kuoa

heri kuoa mapema kuliko ukiwa mzee je? Uki pa ukiwa na miaka sitini mtoto wenyi wa kwanza kitambo agrow uzee bado wabisha
 
Tupo pamoja,,,, kuoa duuuuuh baadae sanaaa wakuo na kuolewa wao waendeleee tu.
 
Hahahahah but kama ali-retire inakuwa afadhali zaidi kuliko kipindi yupo hot on peak
Kweli
Ujue akiwa retired ni sawa ila ukimkuta kwenye kiwango chake speed 120, unakufa na utamu wako mbona
 
Kweli
Ujue akiwa retired ni sawa ila ukimkuta kwenye kiwango chake speed 120, unakufa na utamu wako mbona
Hahaha hiyo inaitwaga Usithubutu kukutwa na Bwana pepsi hahahah Utafurahi na roho yako
 
heri kuoa mapema kuliko ukiwa mzee je? Uki pa ukiwa na miaka sitini mtoto wenyi wa kwanza kitambo agrow uzee bado wabisha
Sasa kwani usipooa kizazi kinakuwa hakipo au? Kama kipo basi kuchelewa kuzaa ni uamuzi wako
 
Mmmmmh!hatari sana {ukweli Tupu huo kwan wanakwambia kosea kujenga Nyumba utabomoa ila sio kuoa}
 
Ni almost miaka mitatu nimeondoka mtaa niliokulia, kuna madogo niliwaacha kama miaka 6,7 hivi ila nimekuta wameshazalisha vibinti na kuishi navyo kwa maisha ya kuungaunga sana na ya mashaka hadi sura zao zimezeeka kwa majukumu wasiyoyaweza, nimestaajabu sana.
 

Nitaendelea kuwa single
 
Very true mkuu ,hii miguberi inayopenda starehe kwa kujidai ni utandawazi imewapeleka watu wengi kwenye early grave/premature Death.Ni vizuri kuomba mungu atusaidie kupata mke sio jinamke.
Na usiposhtuka watakuchuna hadi uzeeke....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…