secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
We ngoja Moja kati ya wawili hawa ajilengeshe, mbona atanena kwa lugha!Kati ya hao wawili kuna mmoja atakimbia uchi kwa game langu lilivyo zito, nawaona tuu hapa wanavyojiparuaparua naona hao wote bado hawajasuguliwa vzr