Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
WeweeeeeKati ya hao wawili kuna mmoja atakimbia uchi kwa game langu lilivyo zito, nawaona tuu hapa wanavyojiparuaparua naona hao wote bado hawajasuguliwa vzr
Unajihami kabla ya game.
Tulia dawa ikuingie.
Unadhani sie watoto wa 2000?