Kuna viumbe Mungu kavibariki

s.crony

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
1,286
Reaction score
464


Kuna viumbe Mungu kavibariki kama si kuvipendelea kabisa....ebu ona huyu mama mzao wa 14 Augost1966 Takribani 46yrs anawaka km kigori cha miaka 26....wakati kuna "mangulu bange" kitaa hata miaka 20 bado sura km vizee vya 58!kazi ya kuunga usiku kwa usiku.....tamasha mpaka uzinduzi!
 
wee hebu tukuone we mwenyewe unafananaje
 
Sasa sijui umeunganishaje kubariki na hiki ulichokisema hapa!
 
hayo magoti hujayaona nini unakimbilia kuangalia uso kigoli cha 26yrs kamwe hakiwezi kuwa na magoti ya design hiyo labda kama anakimbia marathon
 
Mama weeeeeee

Nizikeni nasema nizikeni
 
aise..antageng and plastic sugery unaijua mkuu
 
Mkuu HARUFU niko na Mchina nikifika kwenye PC nitakufanyia mambo mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Duh!!eti tamasha mpaka usinduzi!!Hahahaha!!sawa bhana umenena kwa viumbe waliobarikiwa!!
 
Huyo ni 48 yrs kasoro miezi miwili (naweka record sawa mkuu), mbona hapa Tanzania wapo au wewe wa kwako keshaanza kuonekana ana 58 yrs wakati ana 25yrs, wewe ndio mmemfanya achuje na imekula kwako na huyo ndio chaguo lako sijui utafanyaje sasa
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni 48 yrs kasoro miezi miwili (naweka record sawa mkuu), mbona hapa Tanzania wapo au wewe wa kwako keshaanza kuonekana ana 58 yrs wakati ana 25yrs, wewe ndio mmemfanya achuje na imekula kwako na huyo ndio chaguo lako sijui utafanyaje sasa

dah Jodoki mi bado nipo nipo.....saaaana tu...
 
"Uzuri wa kitabu sio kava,ni yaliyomo ndan".


Halafu kuwaita wadogo/dada/mama/Wake zetu magube gube na iwe mwisho leo umesikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…