s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 165714View attachment 165716View attachment 165717Kuna viumbe Mungu kavibariki kama si kuvipendelea kabisa....ebu ona huyu mama mzao wa 14 Augost1966 Takribani 46yrs anawaka km kigori cha miaka 26....wakati kuna "mangulu bange" kitaa hata miaka 20 bado sura km vizee vya 58!kazi ya kuunga usiku kwa usiku.....tamasha mpaka uzinduzi!
Huyo ni 48 yrs kasoro miezi miwili (naweka record sawa mkuu), mbona hapa Tanzania wapo au wewe wa kwako keshaanza kuonekana ana 58 yrs wakati ana 25yrs, wewe ndio mmemfanya achuje na imekula kwako na huyo ndio chaguo lako sijui utafanyaje sasa
Mmmh mi nkajua dushe!!!