Kuna viumbe sayari zingine!!!?

Kuna viumbe sayari zingine!!!?

Hebu soma mstari wa kwanza wa comment ya kwanza.
kwa hiyo mistari zaidi ya sita umesoma moja ambao unaishiwa na comma afu ukamaliza uka-conclude.. wabongo wavivu sana kusoma naona... afu we ndo muuliza swali...

Ila nshakushtukia, unajaribu kua mbishi tujibizane ili post ipande juu kwenye New posts section kwa kua we ndo umeleta mada... U r crazy
 
Ahsante sana. Kwa wale walionipa indications. Kuhusu UFO name Alien. Nimepitia kwenye mitandao na nimegundua maisha so duniani tu.

Ninawashauri wale wenye kukomenti bila kujua na kujifanya wanajua bila evidence na kudhani wako sahihi si vizuri.

point of correction, ufo sio alien, ufo abbreviation ya unidentified flying object kama una dstv ktk channel ya national geographic utapata data nyingi sana na alien ni imaginary creature/form of life/form of human which is not from planet earth i.e our planet!!

mpaka sas hakuna kiumbe( alien or ufo) kilichopatikna ila chances are so high kwamba hatuko alone ktk hii universe maana out of billion planet in a milky way there has to be a planet out there inayo support life kama yetu!!!

kuna tu evidence kuonyesha kwamba planet earth ilishawai visitiwa na ufo na aliens from the past hata vitabu vya religion vimeelezea countless times kuhusu dunia kutembelewa na viumbe kutoka angani!!

hata sisi binadam inawezekana ndio missing link kati ya animals waliokuwepo na intelligence yetu, inawezekana hawa watu/creature walikuja waka inter marry na primitive earth women ndio intelligent being wakaanza tokea!!!
 
Ahsante
 
Hahaha! NASA hawajakamata kiumbe chochote kutoka sayari nyingine, wala hawajakiona hata kimoja, kwa lugha nyingine umedanganywa mchana kweupeeeee... Hahaha! Kwenye sayari nyingine kuna viumbe ndio ila sio viumbe hai, hapa naongelea kuna vitu kama mawe, zipo nyingine zinasemekana kua na maji, kuna sayari nyingine ni almasi peke yake, madini mbalimbali kama chuma yamejaa mars, nyingine zimetengenezwa kwa gases nzito, na kadhalika, ila kiumbe hai hakijapatikana HATA KIMOJA... Anayekwambia vingine anataka kunogesha story tu.. ila ulimwengu ni mkubwa sana, sana sana ukisema uumalize utapanda rocket miaka tilioni unasafiri na bado hujafika hata nusu, kwa ukubwa huu labda siku moja tutabahatisha viumbe hai.. japo pia speed ya rocket zetu ni 11km/s, hapa hadi mars tu karibu kabisa tunatumia miezi sita kusafiri kufika... Sayari yenye maji iliyoko mbali itatuchukua miaka milioni kadhaa kwa speed hiyo hilo nalo tatizo... Tusubiri kuna technology mpya inaitwa warp drive endapo itawezekana basi tutaweza kwenda kwa sekunde tu.... Till then hakuna kitu kama uhai sehemu nyingine..

Tupe sababu ya kukuamini wewe, unafanya kazi NASA? Where is your credible source?
 
Na wewe nipe sababu ya kuamini kua wamepata kiumbe sayari nyingine, una source?
NASA wenyewe wanasema hawajapata kitu kama hicho, na images walizonazo pekee za sayari nyingine ni mars, rover inapiga picha na kuscan data mbalimbali inatuma huku.. Sayari nyingine zote wana calculated data peke yake, calculating atmosphere, temperature, etc... Through hizo calculation unaweza tu kuhisi kama sehemu inaweza support life au la ila hazikuonyeshi kama kuna life.. Mars tumefika, hamna life hadi leo miaka zaidi ya sita sasa rover inazunguka, sayari nyingine hatujafika tutajuaje kua kuna life? Yaweza ikawepo sehemu nyingine ila hatujapata hata moja... pata updates za NASA kutoka reddit au kwenye site yao utaona wanasema hadi leo hawajapata life na data zao zote wanaziweka public watu wanaangalia... mimi sikai na kuguess kama ambavyo huyo jamaa hapo juu anafanya kisa kaambiwa na rafiki aliyeambiwa na rafiki aliyeona kwenye movie
 
Lazima kuna classified information kuhsu nje ya dunia.

Hapo hunidanganyi, tuamini tunachokiona ila usinihakikishie kuwa kila kitu kinawekwa online
 
Hapo umenena sio kila kitu kiko kwenye mitandao. Watu wanaamini sana mitandao.
 
classified information kua wamekutana na viumbe hai.. Ok, i get t! One of those internet hoax believers... Nshaandika articles nyingi tu khs hiyo hoax na zinalipa vzr sana, kuna massive data watu wanatafta huo ujinga, n bloggers n article writers wanazidi kula hela vizuri sana... People want lies, n lies we shall give them...
Watu wengi wanawafikiria nasa kama sijui watu gani, wale ni watu wanafanya kazi pale, sawa na wewe au mimi, good scientists, u r qualified u go in, unadhani kitu kama hicho kinaweza kua confined ndani hao kisitoke miaka na miaka? u gotta b kidding, kitu kikubwa ambacho kinaweza kua the greatest discovery since who knows when waki-confine mtu asimwambie hata rafiki yake ati tumekuta hiki.. endelea kuamini hoax tunazowatengenezea... na just so u know, hakuna project nasa inayofanywa na mtu moja au wawili au kumi kwamba wanaweza kuizuia wenyewe, projects zote zina watu wengi sana... u cant control the entire organization
 
Leta proof zako kupinga kile tuna choongelea. Leta picha, video na audio kama supporting documents.

Mimi sijaelewa msimamo wako ume base wapi. Religion, philosophical, science au wapi. Nipe proof against NASA.
 
sasa ambaye anastahili kuleta hizo evidence si ni nyie mnaong'ang'ania uwepo wa viumbe sayari nyingine... Mimi nasema exact the opposite.. na am not based on religion au any other than science.. Afu unataka proof against NASA, nakushangaa maana wewe ndo unatakiwa unipe proof against Nasa maana huwaamini wanaposema hawajapata kiumbe hai sayari nyingine yoyote
 
Halafu unajua kuwa uko nje ya mada? Sisi tunaongelea possibilities za kuwepo viumbe hai kwenye planet zingine ndani ya universe.

Wewe unasema haiwezekani. Ndio na kuuliza how? Just prove even mathematically nitakuelewa. Prove it negatively.
 
Basi kumbe hatujaelewana... mara zote nilikua natumia neno "hatujapata hata kimoja" na post yangu ya kwanza kama umeisoma inasema kabisa kua possibility ipo sema hatujafikia hapo... kama unaongelea possibility then tuko page moja, lugha zetu zimepishana tu... Ulimwengu mzima ni mkubwa sana, hata milky way galaxy peke yake robo tu hatujakaribia kuexplore, unaweza kuta life huku huku kabla hata ya kufikia galaxy nyingine... ila still as i said, sasa hivi hatujapata
 
classified information kua wamekutana na viumbe hai.. Ok, i get t! One of those internet hoax believers... Nshaandika articles nyingi tu khs hiyo hoax na zinalipa vzr sana, kuna massive data watu wanatafta huo ujinga, n bloggers n article writers wanazidi kula hela vizuri sana... People want lies, n lies we shall give them...
Watu wengi wanawafikiria nasa kama sijui watu gani, wale ni watu wanafanya kazi pale, sawa na wewe au mimi, good scientists, u r qualified u go in, unadhani kitu kama hicho kinaweza kua confined ndani hao kisitoke miaka na miaka? u gotta b kidding, kitu kikubwa ambacho kinaweza kua the greatest discovery since who knows when waki-confine mtu asimwambie hata rafiki yake ati tumekuta hiki.. endelea kuamini hoax tunazowatengenezea... na just so u know, hakuna project nasa inayofanywa na mtu moja au wawili au kumi kwamba wanaweza kuizuia wenyewe, projects zote zina watu wengi sana... u cant control the entire organization

Kwanza unaamini kuwa kuna classified information au la?

Kama ndio, unaamini kuwa NASA wanaweza kuwa na classified information?

Kama ndio, huwezi jua nini kiimefichwa.
 
Hapo umenena sio kila kitu kiko kwenye mitandao. Watu wanaamini sana mitandao.

Kuna vitu vingi vinavumbuliwa vinafichwa, wanakupa a tip of ice berg.

Wakati muafaka ukifika wanaanza kuonyesha kama ugunduzi ila vilikuwepo tu

Kama dawa ya ukimwi kwa sasa. Hii dawa ipo wanasubiri tu muda ufike
 
umejuaje kama dawa ipo? Halafu kama vinavumbuliwa na vinafichwa wewe unavijuaje? Hizo zote bado ni guesses tu!!
 
Back
Top Bottom