Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi

Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same

[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji23]kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone.

Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho

NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole
 
Aisee ebu ngoja kwanza niangalie lips zangu ni aina gani halaf nilinganishe na kiungo kisichoonekana
Why-Africans-Have-Thick-Lips-African-Fat-Lips.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mshana jr,
Assumption za namna hii zisizo rasmi ndizo zinazo aminiwa na kupendwa na kundi kubwa la watu, si wasomi wala wasio wasomi,

Lakini kuna watoto wazuri jamani, yaani ukiwaona huwezi hata kukumbuka hizo assumption,
Mfano mimi nkionaga comment au avata ya mtoto rubii wa jf akili inakimbilia kwenye kufikiria sura yake jinsi ilivyo nyororo uso wenye bashasha na umbo la kuvutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom