Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Huyo jamaa ccm wote wanamgwaya na ndiyo maana hawaogopiCha Kumfanya hawana !!.
Akili yake ni Kubwa kuliko wao!!.
Nadhani ile hotuba yake ya jana kamwe haikumfurahisha mwenye mamlakaFafanua Zaidi,kwa Nini wamefuta na Kwa Nini unasema akili Yao ni kubwa?
Kile alichosema Nchimbi kinakinzana na mtazamo wa Samia,Wasira ,na wakubwa wengine ambao kwa sasa 'sherehe' imenoga.Nadhani ile hotuba yake ya jana kamwe haikumfurahisha mwenye mamlaka
Msimsifu sana. Wekeni akiba. Hao wote ni CCM tu!Cha Kumfanya hawana !!.
Akili yake ni Kubwa kuliko wao!!.
Msisahau Nchinbi naye ni CCM. Wekeni akiba ya manenoHuyo jamaa ccm wote wanamgwaya na ndiyo maana hawaogopi
Aliua nani na naniNchimbi ni serial killer Hana mfano ndiyo maana mama na UJINGA wake wote anapiga breki Kwa huyu jini