Kuna Vyombo Vya Habari vimefuta hotuba ya Nchimbi kwenye mitandao ya kijamii?

Kuna Vyombo Vya Habari vimefuta hotuba ya Nchimbi kwenye mitandao ya kijamii?

Watu walimng'oa rais wa nchi madarakani wakamweka kizuizini, wakamtoa spika wa bunge hadi akafa na kihoro.

Bado hamuamini kama wanaweza kumtoa yoyote kama mwenyekiti wao anataka utoke ??
Yaani huko wakiamua lao unapitishwa mlango wa nyuma mchana kweupe
1.Kolimba
2 jumbe
3 Ndugai
4 Polepole
5Chifupa
Na wengine wengi waliothubutu kwenda kinyume na maagano
 
Mmegundua kua Vyombo vya HABARI vimefuta hotuba ya NCHIMBI katika mitandao ya Kijamii?

Sasa huyo ndio NCHIMBI aliyepinga Utekaji pamoja na Mauaji. Cha Kumfanya hawana

Akili yake ni Kubwa kuliko wao!
Nchimbi na Samia ni walewale, hizoni ngonjera tu na tumeshafahamu. Kila mmoja atapay the price
 
Yaani huko wakiamua lao unapitishwa mlango wa nyuma mchana kweupe
1.Kolimba
2 jumbe
3 Ndugai
4 Polepole
5Chifupa
Na wengine wengi waliothubutu kwenda kinyume na maagano
CCM wanaweza kumng'oa yoyote kwenye kiti kasoro Mwenyekiti tu na hakuna kitu atafanya.

Mtu aliyeweza kuwatikisa CCM ni Lowassa tu wengine nje ya CCM hawawezi hata kushawishi mtaa wanaoishi watakuwa na madhara gani kwa chama hata wakitolewa?
 
Back
Top Bottom