Bora huyu hata kama anaongea kinafki kuliko yule mama anayeua watoto zetu halafu anatuchambaNitakuwa wa mwisho kuamini kama Nchimbi haja tumwa .
Ingawa angaalau kauli zake.. zina leta matumaini tofauti na michambo ya yule bi kizee
Watu walimng'oa rais wa nchi madarakani wakamweka kizuizini, wakamtoa spika wa bunge hadi akafa na kihoro.Huyo jamaa ccm wote wanamgwaya na ndiyo maana hawaogopi
una udini unaonekanaNchimbi ni serial killer Hana mfano ndiyo maana mama na UJINGA wake wote anapiga breki Kwa huyu jini
Mkuu "serial killer" ina connotation tofauti sanaNchimbi ni serial killer Hana mfano ndiyo maana mama na UJINGA wake wote anapiga breki Kwa huyu jini
Hata hivyo huyu jamaa bado ni TISS na ukiona Hadi anajiamini kuongea speech kama Ile ya Jana ujuwe amepijipangaMkuu "serial killer" ina connotation tofauti sana
Hakuna hiyo!Ile pambaneni mpate katiba ni code kubwa sana, akisema rais huyu yupo tayari maana yake kwasababu ya mauaji ya 29 oct ni daraja la kutupeleka kwenye katiba yaani goli lipo tupu ni kubutua.
Mimi na Dini wapi na wapi ndugu yangu!!!una udini unaonekana
Kumbe???Hata hivyo huyu jamaa bado ni TISS na ukiona Hadi anajiamini kuongea speech kama Ile ya Jana ujuwe amepijipanga
Kuna wakati Kikwete aliwahi kusema kuwa ndani ya ccm mtu hawezi kuacha glasi ya kinywani chake mezani akaenda msalaniKile alichosema Nchimbi kinakinzana na mtazamo wa Samia,Wasira ,na wakubwa wengine ambao kwa sasa 'sherehe' imenoga.
Wako mezani wanakula unaleta kelele za katiba mpya?
wanajisumbua tu maana watu tayrai walisha soma,kusikiliza hivyo material zote zipo vichwaniTISS ndo wanapiga biti vyombo. Wafute na Magazeti yaloandika tuone
siyo kwa Tanzania,huko bado hatujafikia.Watu walimng'oa rais wa nchi madarakani wakamweka kizuizini, wakamtoa spika wa bunge hadi akafa na kihoro.
Bado hamuamini kama wanaweza kumtoa yoyote kama mwenyekiti wao anataka utoke ??
Aboud Jumbe wakati anatolewa madarakani ulikuwa hujazaliwa, Ndugai wakati anatolewa uspika wa bunge ulikuwa wapi ?siyo kwa Tanzania,huko bado hatujafikia.
Pili ndani ya ccm hakuna mwenye uthubutu wa kumtoa VP madarakani hata kwa impeachment kama walivyofanya Kenya.
Mimi nimepigana Vita ya nduli Idi Amina alafu uniambie kuwa Nilikuwa sijazaliwa?Aboud Jumbe wakati anatolewa madarakani ulikuwa hujazaliwa, Ndugai wakati anatolewa uspika wa bunge ulikuwa wapi ?