Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.

Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,

1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3. Wabunge wa kuteuliwa na rais.

Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye Ibara gani.

Hivi siku mgombea urais akibaki peke yake uchaguzi hautafanyika? yaani hatutampigia kura ya NDIO au HAPANA? na automatically NEC itamtangaza kuwa Rais?

Ndio maana sisi wengine tunapodai Katiba mpya muwe mnatuelewa ni pamoja na kuondoa utata kama huu.
===============

Wabunge waliopita bila kupingwa.

1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
16. Butiama - Sagini Abdallah
17. Misungwi - Alexander Mnyeti
18. Bumbuli - January Makamba
 
Na nchi imetuliiiia tuliii...!

Chadema walivyotegemea imekuwa siyo hadi hawaamini, Walitegemea wananchi wataandamana, haikuwa hivyo,

Wakataka kutisha tisha, sijiu twende Mahakama ya MIGA, wengine wakasema twende kwa Amsterdam, kote huko hakuna kitu,
Wakapanga njama ya kuhujumiana wao kwa wao, kuteua wabunge halafu wakatae kwamba hawakuteua wabunge ili labda mabwana zao waingilie kati nchi yetu, nalo sasa wameaibika wenyewe,

waliochaguliwa kwa agenda ya kuchafua bunge, wenyewe wapo bungeni wanakula posho na mishahara kibao, sasa inawauma walioko nje!

Eti mnadai katiba, ili iwe nini sasa na wakati katiba ndoogo mliyonayo inavunjwa na viongozi wenu na bado mna kenua meno tu
 
Duh? Topic umeielewa lkn?
 
Mihemko ya chama hiyoo mkuu, katiba mpya ni ya watanzania wote, ila kwa nyie mliopo kwenye system ndo mnaipinga kutetea ugali wenu.Aibu
 
Wabunge waliopita bila kupingwa.

1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
16. Butiama - Sagini Abdallah
17. Misungwi - Alexander Mnyeti
18. Bumbuli - January Makamba

Hawa wabunge walio orodheshwa hapa hawakupita bila kupingwa kwa mapenzi na mahaba ya wananchi ktk majimbo yao. Walifanya FIGISU a.k.a HUJUMA.

Natoa siku 7 wawe wametubu. Narudia tena natoa siku 7 wawe wametubu. Narudia kw mara ya mwisho, natoa siku 7 wawe wametubu. Vinginevyo mmoja baada ya mwingine wataanza "kwenda peponi".

Kama Kuna jamaa zao waambieni kabisaa.

Hao niliyo wa-bold nina pdf ya maovu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…