TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
We know th bias ya kupata hao watuKatiba mpya huwa inaandikwa na Bunge Maalumu siyo lazima wawe wabunge wa bunge la kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We know th bias ya kupata hao watuKatiba mpya huwa inaandikwa na Bunge Maalumu siyo lazima wawe wabunge wa bunge la kawaida.
Lete kinachosema katiba imevunjwaLete kifungu cha katiba kinachosema katiba haijavunjwa
Huo ubavu anao? [emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hadi Kigwangala na u-much know wote ule ila akaogopa kuingia kwenye sanduku la kura
Kumbe je 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, anaongea sana lakinini mwepesi sana yule. Wengi wa wabunge walihonga ma DED ili wapinzani wanaporejesha fomu kuwe na zengweAisee hadi Kigwangala na u-much know wote ule ila akaogopa kuingia kwenye sanduku la kura
Ilikuwa aibu kubwa sana, ndio sababu hata uchaguzi ulipotangazwa, hakukua na shamra shamra kama zile tulizozioea miaka yote.Uchaguzi Mkuu 2020 CCM walifanya vitendo vya aibu sana kwa nchi - Dawa yao ni KATIBA MPYA, watake wasitake.
Usichanganye sheria na katiba, unataka katiba izungumzie upatikanaji wa umeme? masuala ya kodi sijui biashara haya yanashughulikiwa na sheria na kanuni zake.1. Kuondoa kodi kandamizi
2. Kudai huduma bora na nafuu za afya
3. Ajira za uhakika kwa vijana wao
4. Mazingira wezeshi ya kujiajiri
5. Mikopo yenye riba nafuu na himilivu
6. Uhakika wa nishati ya umeme kwa gharama ndogo.
7. Uhuru wa kufanya biashara mipakani
8. Ushirikishwaji wa moja kwa moja wa wananchi kwenye mambo ya kitaifa. Kuliko wabunge wengi waliokaa kisiasa bungeni kazi kula hela ya walalahoi.
Angalia vizuri bandiko langu. Nimetaja hayo mambo ambayo yanaweza kumshawishi mwananchi wa kawaida kuingia barabarani.Usichanganye sheria na katiba, unataka katiba izungumzie upatikanaji wa umeme? masuala ya kodi sijui biashara haya yanashughulikiwa na sheria na kanuni zake.
Kikwete aliporuhusu kuandikwa kwa katiba mpya 2014 kuna mtu aliandamana.Angalia vizuri bandiko langu. Nimetaja hayo mambo ambayo yanaweza kumshawishi mwananchi wa kawaida kuingia barabarani.
Suala la katiba limekaa kisiasa. Na ipo siku vijana watafanya reformation kwa sababu ya kuwachukia wanasiasa (wote).
Wabunge waliopita bila kupingwa, maana yake ni waliochaguliwa na kushinda kwa asilimia 100, na hivyo kupelekea kukwepesha gharama za uchaguzi kwa Taifa. Hawa ndiyo wabunge halali kwa iwango cha juu zaidi kuwazidi hata wale wengine walioshinda kwa asilimia pungufu ya 100%Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.
Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,
1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3. Wabunge wa kuteuliwa na rais.
Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye Ibara gani.
Hivi siku mgombea urais akibaki peke yake uchaguzi hautafanyika? yaani hatutampigia kura ya NDIO au HAPANA? na automatically NEC itamtangaza kuwa Rais?
Ndio maana sisi wengine tunapodai Katiba mpya muwe mnatuelewa ni pamoja na kuondoa utata kama huu.
===============
Wabunge waliopita bila kupingwa.
1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
16. Butiama - Sagini Abdallah
17. Misungwi - Alexander Mnyeti
18. Bumbuli - January Makamba
UNAJUWA UKIWA UNA NJAA KALI LAZIMA UTAANZA KUFIKIRIA KWA KUTUMIA NJIA YA HAJA KUBWA TU SASA WEWE KAMA MGOMBEA AMEBAKI PEKEYAKE HAKUNA WA KUSHINDANA NAYE UTAMWITAJE SI KAPITA BILA KUPINGWA? ACHENI UNGESE WENU CHADOMOWabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.
Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,
1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3. Wabunge wa kuteuliwa na rais.
Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye Ibara gani.
Hivi siku mgombea urais akibaki peke yake uchaguzi hautafanyika? yaani hatutampigia kura ya NDIO au HAPANA? na automatically NEC itamtangaza kuwa Rais?
Ndio maana sisi wengine tunapodai Katiba mpya muwe mnatuelewa ni pamoja na kuondoa utata kama huu.
===============
Wabunge waliopita bila kupingwa.
1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
16. Butiama - Sagini Abdallah
17. Misungwi - Alexander Mnyeti
18. Bumbuli - January Makamba
hivi hii katiba iliyopo unaona haifai yote au ina mapungufu ambayo yanaweza kufanyiwa amendment?Mihemko ya chama hiyoo mkuu, katiba mpya ni ya watanzania wote, ila kwa nyie mliopo kwenye system ndo mnaipinga kutetea ugali wenu.Aibu
Nani aliwapigia kura je tukisema walipata 0% kwa vile hakuna kura hata moja iliyohesabiwa utasemaje.Wabunge waliopita bila kupingwa, maana yake ni waliochaguliwa na kushinda kwa asilimia 100, na hivyo kupelekea kukwepesha gharama za uchaguzi kwa Taifa. Hawa ndiyo wabunge halali kwa iwango cha juu zaidi kuwazidi hata wale wengine walioshinda kwa asilimia pungufu ya 100%
Alichaguliwa na nani? waliojitoa ni wagombea sio wananchi angalau wangepigiwa kura za NDIO au HAPANA.UNAJUWA UKIWA UNA NJAA KALI LAZIMA UTAANZA KUFIKIRIA KWA KUTUMIA NJIA YA HAJA KUBWA TU SASA WEWE KAMA MGOMBEA AMEBAKI PEKEYAKE HAKUNA WA KUSHINDANA NAYE UTAMWITAJE SI KAPITA BILA KUPINGWA? ACHENI UNGESE WENU CHADOMO
Kwani mantiki inayopelekea watu kupiga kura ni ipi? Kura inapigwa ili kuthibitisha mgawanyiko wa mawazo ya wapiga kura juu ya mgombea au wagombea wao. Kama mgawanyiko wa mawazo kwa wapiga kura haupo, kupiga kura kunakosa mantiki na kinakuwa ni kitendo cha kupoteza muda na rasilimali za wapiga kura.Nani aliwapigia kura je tukisema walipata 0% kwa vile hakuna kura hata moja iliyohesabiwa utasemaje.
Natoa siku 7 wawe wametubu. Narudia tena natoa siku 7 wawe wametubu. Narudia kw mara ya mwisho, natoa siku 7 wawe wametubu. Vinginevyo mmoja baada ya mwingine wataanza "kwenda peponi".
Huwa siipendi dhulma na wote wanao dhulmu. Nadhani sasa tuwamushie dude ili waone aibu.Una usafiri wa kuwapeleka huko au ndio upo huko una waandalia makao..?