mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hii apa....
Je na wewe umemiss nusu chuma nusu mtu?
Je na wewe umemiss nusu chuma nusu mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huko aliko amecheza mechi ngapi,simba ikikutema ujue hufai hata kwa kachumbariSaivi kuna ukuta wa yeriko 😂 kila mechi unapitisha magoli
Kacheza 3 tuVipi huko aliko amecheza mechi ngapi,simba ikikutema ujue hufai hata kwa kachumbari
Tarehe 5 muwekeni ayubu 🤣Nadhani kwanza tungeelewa
JE uwezo wa magolikipa wa Simba unatosha kusimama langoni?????
Ukimtoa Aishi Manula tu
Hatuoni kuwa Simba ilifanya makosa kwenye usajili kuhangaika na makipa kisa 10%.
unamuacha Golikipa kama John Noble unaangaika na Akina.
1. Ally salum
2.Ayoub Lakred.
3. Luis Santos.
4.jeffason Luis.
5. Hussein Abel
Aibu ya uongozi wa Simba
Tarehe 5 muwekeni ayubu 🤣
Acha kauli za kijiweni dogo nimekutukana hapa au unataka nilianzishe si ndio dogo kwani tanga alivodaka zile penati za kudesh kwenye mstari ndo umsifie wakati zilikuwa sio za halali na tarehe 5 utakoma we mbupuMbona aliwekwa Ally salum mbovu mala Mbili.
Akadaka penati Tanga
.Mbele ya Mayele mkala 2-0
Inonga na Kibu
Mbona unasahau mapema ama kichwa kimebeba kamasi????????????
PUNGUZA UNAZI NA USHABIKI WA KIPUMBAVU.
Ndiye atakayewekwa na hakuna mtakachomfanya . Kwani mdaka mishale keshatobolewa magoli mangapi vile kwenye ligi?Tarehe 5 muwekeni ayubu [emoji1787]
Sawa ila tarehe 5 sidhani kama utakuja kupiga kelele humu ndaniNdiye atakayewekwa na hakuna mtakachomfanya . Kwani mdaka mishale keshatobolewa magoli mangapi vile kwenye ligi?
Mdaka mishale alishindwa nini kudeshi kama ni rahisi hivyo?Acha kauli za kijiweni dogo nimekutukana hapa au unataka nilianzishe si ndio dogo kwani tanga alivodaka zile penati za kudesh kwenye mstari ndo umsifie wakati zilikuwa sio za halali na tarehe 5 utakoma we mbupu
Hauko timamu ngoja nikuache kwanzaMdaka mishale alishindwa nini kudeshi kama ni rahisi hivyo?
Mechi 2 zote unadunguliwa bado tu una matumaini ya kuifunga simba kirahisi hivyo?Sawa ila tarehe 5 sidhani kama utakuja kupiga kelele humu ndani
Hauko timamuMechi 2 zote unadunguliwa bado tu una matumaini ya kuifunga simba kirahisi hivyo?
.Acha kauli za kijiweni dogo nimekutukana hapa au unataka nilianzishe si ndio dogo kwani tanga alivodaka zile penati za kudesh kwenye mstari ndo umsifie wakati zilikuwa sio za halali na tarehe 5 utakoma we mbupu
Kabisanawashauri Simba tarehe tano wasije kuingiza timu uwanjani.
wataaibika wakuu☹️