Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sawa subiria tarehe 5 olewako usije umu ndani.
Ally salum Alidaka Basi mbele ya Mayele.
Enock Inonga 1
Kibu Denis 1
FULL TIME SIMBA 2 YANGA 0
Unataka nini tena?????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa subiria tarehe 5 olewako usije umu ndani.
Ally salum Alidaka Basi mbele ya Mayele.
Enock Inonga 1
Kibu Denis 1
FULL TIME SIMBA 2 YANGA 0
Unataka nini tena?????????
nawashauri Simba tarehe tano wasije kuingiza timu uwanjani.
wataaibika wakuu☹️
sasa hio midebwedo yasimba inauwezo wakumzuia zengeli na azizi kweli?
Simba watoroke kwanza mana wataaibika wakuu
Jitu mwitu linasugulishwa benchiOnyango mtu na nusu.
Sijui shida ni wachambuzi au propaganda tu redioni yanga karuhusu goli 4 , simba karuhusu goli 5 kwenye Ligi ya NBC , utofauti ni goli moja ila linavyozungumzwa kama simba karuhusu goli 10,yanga beki yake imepata vipimo sahihi viwili tuu imeruhusu goli 4,yanga sio kwamba wanabeki za Kati nzuri kuliko simba Bali hawajakutana na vipimo sahihi,ukimpa shinikizo Mwamnyeto anakupa assist ya goli mtakuja kuona derby tarehe 5, simba wakicheza kukabia juu kama walivyofanya derby iliyopita Ile ya kibuD au ilamfya na Mbaraka Amza walivyowa press mwanyeto na Bacca hadi mwanyeto akatoa faulo iliozaa goli LA Kwanza mtakuja kujua propaganda ni mbaya

Umesahau Tanga refa aliwabeba kwa kukataa chuma 2Mbona aliwekwa Ally salum mbovu mala Mbili.
Akadaka penati Tanga
.Mbele ya Mayele mkala 2-0
Inonga na Kibu
Mbona unasahau mapema ama kichwa kimebeba kamasi????????????
PUNGUZA UNAZI NA USHABIKI WA KIPUMBAVU.
Umesahau Tanga refa aliwabeba kwa kukataa chuma 2
Pia kuna ukuta wa team flan huwa ukienda bonde la Ihefu unaachiaga milango yote inakuwa wazi,watu wanajipigia watakavyo[emoji4]Saivi kuna ukuta wa yeriko [emoji23] kila mechi unapitisha magoli
Si bora uo wa yeriko umezidi kila siku unavujisha majiPia kuna ukuta wa team flan huwa ukienda bonde la Ihefu unaachiaga milango yote inakuwa wazi,watu wanajipigia watakavyo[emoji4]
Onyango hajawahi kuwa na kiwango cha Che Malone na kwanza hawafanani ni Ngumu kuwafananinisha kila mtu ana advantages zake na flaws zake.Ukifwatilia kiwango cha onyango wakati anatua simba na che malone,onyango alikua na kiwango bora kuliko malone,japo malone hana muda wakutosha nivigumu kumuhukumu kwakumlinganisha na onyango kwasababu ubora wa onyango kwa kipindi chote alichokua simba tunaufahamu ila wa malone bado.tutoe muda ili tuhukumu kwa haki.ila kwakipimo cha wakati wanaanza mimi nitachukua onyango.
Sent using Jamii Forums mobile app