Kuna wachambuzi wamemisi Onyango aisee

Kuna wachambuzi wamemisi Onyango aisee

nawashauri Simba tarehe tano wasije kuingiza timu uwanjani.

wataaibika wakuu☹️

Tukiwanukuu akina manara mtasema tunawatukana???????????.?

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Simba watoroke kwanza mana wataaibika wakuu

Karibu sana jamii Forum hapa sio FB.

Hapa ni Home of great thinkers.
utaheshimika kwa kujenga Hoja na kujitanbua kwako.

Ukiendekeza ushabiki na unazi wa simba na yanga utadharaulika.

Kama umeingia hili jukwaa ni jukwaa la michezo na si ushabiki wa simba na yanga.

EPUKA MADA ZA KITOTO NA USHAMBA PELEKA HUKO HUKO

PATHETIC
 
Hii apa....

Je na wewe umemiss nusu chuma nusu mtu?
View attachment 2796658
Sijui shida ni wachambuzi au propaganda tu redioni yanga karuhusu goli 4 , simba karuhusu goli 5 kwenye Ligi ya NBC , utofauti ni goli moja ila linavyozungumzwa kama simba karuhusu goli 10,yanga beki yake imepata vipimo sahihi viwili tuu imeruhusu goli 4,yanga sio kwamba wanabeki za Kati nzuri kuliko simba Bali hawajakutana na vipimo sahihi,ukimpa shinikizo Mwamnyeto anakupa assist ya goli mtakuja kuona derby tarehe 5, simba wakicheza kukabia juu kama walivyofanya derby iliyopita Ile ya kibuD au ilamfya na Mbaraka Amza walivyowa press mwanyeto na Bacca hadi mwanyeto akatoa faulo iliozaa goli LA Kwanza mtakuja kujua propaganda ni mbaya
 
Umeongea kitaalam sana mkuu.

Tunamisa watu wataalam kama nyie badala yake jamii Forum imejaa mazwazwatu.

Muwe mnakuja kutoa Darasa hapa. Kuna vilaza na maloofa wengi mno
 
Mbona aliwekwa Ally salum mbovu mala Mbili.
Akadaka penati Tanga

.Mbele ya Mayele mkala 2-0
Inonga na Kibu

Mbona unasahau mapema ama kichwa kimebeba kamasi????????????

PUNGUZA UNAZI NA USHABIKI WA KIPUMBAVU.
Umesahau Tanga refa aliwabeba kwa kukataa chuma 2
 
Babu Onyango alikua mbuzi wa kafara tu ila yule mtu kazi kweli kweli....
 
Pia kuna ukuta wa team flan huwa ukienda bonde la Ihefu unaachiaga milango yote inakuwa wazi,watu wanajipigia watakavyo[emoji4]
Si bora uo wa yeriko umezidi kila siku unavujisha maji
 
MATAHIRA YA JF

SIMBA AMEFUNGWA GOLI 5
YANGA AMEFUNGWA GOLI 4

DIARA 4.
SALUM NA AYOUB 5.
 
Ukifwatilia kiwango cha onyango wakati anatua simba na che malone,onyango alikua na kiwango bora kuliko malone,japo malone hana muda wakutosha nivigumu kumuhukumu kwakumlinganisha na onyango kwasababu ubora wa onyango kwa kipindi chote alichokua simba tunaufahamu ila wa malone bado.tutoe muda ili tuhukumu kwa haki.ila kwakipimo cha wakati wanaanza mimi nitachukua onyango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onyango hajawahi kuwa na kiwango cha Che Malone na kwanza hawafanani ni Ngumu kuwafananinisha kila mtu ana advantages zake na flaws zake.

1.Pace, Onyango hajawahi kuwa na Pace kama Che Malone
2.Aerial duels, Onyango alikuwa vizuri misimu 2 ya mwanzo.
3. Ground duels, Che malone ni Mzuri kuliko onyango.
4. Marking na positioning Onyango anamzidi kidogo Chemalone.
5. Passing Che malone ni mzuri.
6. Brain na Utulivu Che malone ni mzuri
7. Experience, Onyango anamzidi Che malone Experience, kwani Che malone ndio kwanza ana miaka 24.
NB: Viongozi wahakikishe Che Malone anakaa Simba walau miaka 10, hii ndio Simba kizazi kipya. Hatuwezi ruhusu kupoteza wachezaji wazuri tena.
 
Back
Top Bottom