Kuna wadada humu wananichanganya roho

Ha ha haaa babuu Asprin njoo uolewe huku mahari nitatoa mie

Wewe sasa unataka balaa....... Asprin.. kiwatengu.. ASAKut same...... Bujibuji....umesema eti utawanini......?.....

Yanii nilpo nimecheka mpaka mbavu zinauma
Eti asprini msichana khaa
Dogo unatafuta fimbo wewe
Soma dogo huku bado siyo saiz yako


Duuh huyu dogo inabidi apigwe tu hata tukofi tuwili hawezi kumwambia babu Asprin ni manzi!

Maninner Asprin dani ya jumba

hata mwandiko unashindwa kutambua kuwa huu wa kiume huu wa kike. dogo unazingua

Hahaha nimecheka si kidilogo.Kwa nnavyojua kama ni mfuatiliaji mzuri usinge wataja hao uliowataja wanawake wakati we mwanaume.Eti ungekuwa nini ungewaowa!!??hahaha duh!

Kwanza kabisa karibu.

Pia nimefurahi kukukosha roho....

Ila kuna baadhi ya uliowatsja sio wadada...ni wanaume tena baafhi mababu kabisa.. Asprin, Bujibuji, ASAKunte same nk nk

Hahaaa aibu nimeona mimi

Nimeishia njiani kusoma hiyolist kwa kuogopa na mimi nisijekua nimo......naomba mnijulishe mtakaofanikiwa kumailza kusoma yote, nimesitisha baada ya kukutana na Asprin

Kwani asprin ni mdada?
Faizafoxy naye ni mdada au mbibi?

Invisible hivi JF mtoto wa miaka 17 anaruhusiwa kuingia as a member?

Hahahaha Asprin njoo huku kuna ndoa

Dogo unatafuta mamende humu angali sana umri wako ni wakupiga pushups kma magufuli......watake radhi usije pata kibendi bure

usijekuta huyo dogo kichwani anahisi Asprin anasura kama rihana!

Mbona Unaji koti wewe mwenyewe? Kuwa mpole mods wasikuchoke wakakubakisha na boksa...Muulize gilesi yaliyo mkuta! mods wanakucheki tuu..

Baada ya Taifa Staz kuichabanga Malawi.....

Baada ya Liverpool kumtimua Brendan Rodgers....

Na baada ya BADILI TABIA kuniruhusu kutafuta mchepuko....

Wote kwa pamoja naomba msimame mniombee babu yenu mimi niliye hai nisiingie majaribu ya kuvikagua vivulana vya kiume vilivyo kwenye balehe changa......

Msimame pia kuwaombea hawa madogo ambao vinyeo vyao vinaingia vishawishini, vimwaga vinyesi vyao visilegee na kuhamasika....

Mungu apitishe mbali.

Amen!!
 
lakini dogo anachosema kina ukweli kidogo ndan yake hata mimi nahis kuna baadhi yao hapo wananivutia sana
 

Ameeeeen mana hawa watoto wanatafuta mamende humu.......huyu ni mzoefu kabadili id
 
Hata mimi naona. Tatizo sijawahi kuthubutu kujaribu kugegeda kivulana.... kama kweli ni kivulana.

Hahaaa mkuu msamehe bure akikua ataacha mana kasema ana 17yrz so kwa umri wke itakua kma mara ya 3 kunyoa vuz...iiii.....bado anakula kwa baba msamehe bure
 
Hahaaa mkuu msamehe bure akikua ataacha mana kasema ana 17yrz so kwa umri wke itakua kma mara ya 3 kunyoa vuz...iiii.....bado anakula kwa baba msamehe bure

Stuka... huyu mzoefu anajifanya kuzuga tu. Soma katikati ya mistari hapo utaelewa. Ni bweg.e limefungua ID mpya kiongozi. Yani seng.e flani hivi limeamua kuleta usenge.nyaji wake hapa.
 
Yerewiiiiiiiii
 
Nmekuita shemeji umuone huyu kijana jinsi alivyo tuvunjia hekima...
Au ndo ulikuwa bize kumsikiliza dr wa miogo!?

Bwana shemeji ujue hata sikuusoma huu uzi jana? Nilikuwa na wenge la usingizi ndio meusoma now.

Nyambafu zake huyu dogo kwa kunitukania babu yangu Asprin
 
Last edited by a moderator:

tunakuombe babu Asprin hivi vitu vikupitie mbali kabisa. ameeen
 
Last edited by a moderator:
Dogo, usilolijua ni usiku wa giza.
Wengine ni wanaume!
 
Bwana shemeji ujue hata sikuusoma huu uzi jana? Nilikuwa na wenge la usingizi ndio meusoma now.

Nyambafu zake huyu dogo kwa kunitukania babu yangu Asprin

Teh teh...
Hivi hajakutaja nawewe? Maana dogo anatamaa saana miaka 17 anapenda wote hao awatafune..

huyu dogo akikua atasumbua saaana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…