sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Angekutaja nadhani Pange Chimbika mkuu
Duuh hapa ban ingehusikaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekutaja nadhani Pange Chimbika mkuu
Hamna huyu hachekeshi bwana ila anakosea hekima wakubwa wake...
Anashindwa kufata protocal
Mkuu wewe hujatajwa ?
Mkuu wewe hujatajwa ?
Jukwaa moja tu ndiyo haruhusiwi kuingia mtu ambae yupo chini ya miaka -18yrs
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa
Ni kukosea hekima kweli,lakini kwa kuwa amejisemelea ni mpya humu basi asamehewe tu.