Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Hamna huyu hachekeshi bwana ila anakosea hekima wakubwa wake...

Anashindwa kufata protocal

Ni kukosea hekima kweli,lakini kwa kuwa amejisemelea ni mpya humu basi asamehewe tu.
 
Heee asprin bana hii pana jike hii dumee bana
 
Yani hao wamekuchanganya!Je ungewajua umukagame na tumboo si ungezimia kabisa kwa mambo yao.
 
uwiiiii Mungu wangu eeee mbavu zangu naona manundu!!!!!!!
 
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa

Dogo unatafuta mamende humu angali sana umri wako ni wakupiga pushups kma magufuli......watake radhi usije pata kibendi bure
 
Back
Top Bottom