Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

We dogo kuna wanaume umewataja apo utapigwa weweee ohooo..hayo majina yasikuchanganye..
 
yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..[/QUOTE said:
kwa hyo ulitaka uwaoe wote?
 
Kwanza kabisa karibu.

Pia nimefurahi kukukosha roho....

Ila kuna baadhi ya uliowatsja sio wadada...ni wanaume tena baafhi mababu kabisa.. Asprin, Bujibuji, ASAKunte same nk nk

ndio maana nimeomba samahani kaka sikujua kama hao ni wanaume.
ila comments zao zina nakshi naksh me nikadhani ni madada
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nimeomba samahani kaka sikujua kama hao ni wanaume.
ila comments zao zina nakshi naksh me nikadhani ni madada

Nakshi nakshi mrembo...Nishike bega tucheze wimboo..muda ukifika tufanye mamboo
 
Je hao akina dada waliotajwa vp mbona hawajibu huu uzi..?
 
Nimeishia njiani kusoma hiyolist kwa kuogopa na mimi nisijekua nimo......naomba mnijulishe mtakaofanikiwa kumailza kusoma yote, nimesitisha baada ya kukutana na Asprin
 
Last edited by a moderator:
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..

Hairuhusiwi kutumiwa na wenye umri chini miaka 18
 
dogo umekua maarufu kwa mda mfupi sana ila we dogo utakuwa una malaria ndo maana unataka kumuoa aspirin
 
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Invisible hivi JF mtoto wa miaka 17 anaruhusiwa kuingia as a member?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom