Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Mbona Unaji koti wewe mwenyewe? Kuwa mpole mods wasikuchoke wakakubakisha na boksa...Muulize gilesi yaliyo mkuta! mods wanakucheki tuu..
Haaaa kumbe bujibuji ni.......
Teh teh...
Hivi hajakutaja nawewe? Maana dogo anatamaa saana miaka 17 anapenda wote hao awatafune..
huyu dogo akikua atasumbua saaana
Mie shemale huyu amefall kwa wadada tu
Huyu niffah ameolewa? Niffah njooooooo
Makubwa!!!
Nimeolewa na MABADILIKO,niacheni niitunze ndoa yangu kwanza,tukishawang'oa CCM ndio akili zitarudi kwenye mambo kama haya.
Aaah.. Mimi nataka basi urafiki na wewe, nifah MABADILIKO
Mbona hata hapa ni marafiki?
Ila uwe mwanamabadiliko tu,otherwise sitokujibu tena baada ya hapa.
Huyu huenda wala si mwanachama mpya.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Angemtaja, Sijui Scene Ingekuaje??!!!Teh nilikuwa naomba aishie kumention hapo hapo ili asije akakutaja. Ana utani wa ngumi
Aah angerudi tu kusimulia vizuri teh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Angemtaja, Sijui Scene Ingekuaje??!!!