Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Hata kama hatufahamiani ila kuvunjiana heshima huku si jambo jema. Huyu anaonekana ni mzoefu ila tu kafungua ID mpya.

Hili pamoja na issues za kuleta mada za kutunga na za kitoto toto zinakera sana. HESHIMA KITU CHA BURE.
 
Soma kwanza we mtoto haya mambo utayakuta tu, kwanza aliekuluhusu uingie huku nani? mods chapa hiyo
 
Nihurumieni nimecheka hadi mbavu zinauma, huyu mzoefu Id mpya anajua anajua anachokifanya
 
FaizaFoxy njoo kuna mtu amekudondokea huku anataka kubemendwa!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh...
Hivi hajakutaja nawewe? Maana dogo anatamaa saana miaka 17 anapenda wote hao awatafune..

huyu dogo akikua atasumbua saaana

Mkeo yumo kwenye list bwana shemeji, jiandae akikua lazima amtafute.
 
Nimeolewa na MABADILIKO,niacheni niitunze ndoa yangu kwanza,tukishawang'oa CCM ndio akili zitarudi kwenye mambo kama haya.

Aaah.. Mimi nataka basi urafiki na wewe, nifah MABADILIKO
 
Dogo alikua anatania tu ili mcheke kidogo hivyo chekeni tu kisha muacheni
 
Back
Top Bottom