Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 772
- 1,837
๐๐๐Tumika, ndio kazi ya mwanamme .
Madeni yote ya mwanamke hulipwa na mwanamme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Tumika, ndio kazi ya mwanamme .
Madeni yote ya mwanamke hulipwa na mwanamme.
Umeelewa ee๐๐๐
kuna maeneo nchini ukitembelea wanapenda kutumia neno" BIG" hata kama wewe mwembamba na nikama kaheshima flani unapewa wakimaanisha mkubwa huyo kijana wala usimzingue hana nia mbaya.Hivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?
Ndio nipo maporini huku sasa kuna kijana hua ananiita hivyo yaan ila sawa nimeelewa ni sawa na kuna pori lingine ukienda kila kijana anakuita 'Father' hata km sio Padri unajikuta tu unaitwa Father Fatherkuna maeneo nchini ukitembelea wanapenda kutumia neno" BIG" hata kama wewe mwembamba na nikama kaheshima flani unapewa wakimaanisha mkubwa huyo kijana wala usimzingue hana nia mbaya.
Ni hivyo tu.Sanaaa tu
Ww mwamba ๐๐๐,umeuwaaaa.
Ha ha ha.Ukiskia paaaah! Yalaaaaah๐