Kuna wadada wana kiherehere

Kuna wadada wana kiherehere

Kadhia hii huwakuta hasa walimu,.manesi na watendaji hasa wenye uchu wa ndoa wanatapeliwa sana na vijana huko.mtaani wasio na kipato cha uhakika..niliwahi sikia boda mmoja akipanga malengo yake kuwana na mahusiano na nesi au.mwalimu amseduce amchukulie mkopo then asepe amuachie deni..na wengi yanawakuta ya hivo
 
Hivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?
kuna maeneo nchini ukitembelea wanapenda kutumia neno" BIG" hata kama wewe mwembamba na nikama kaheshima flani unapewa wakimaanisha mkubwa huyo kijana wala usimzingue hana nia mbaya.
 
kuna maeneo nchini ukitembelea wanapenda kutumia neno" BIG" hata kama wewe mwembamba na nikama kaheshima flani unapewa wakimaanisha mkubwa huyo kijana wala usimzingue hana nia mbaya.
Ndio nipo maporini huku sasa kuna kijana hua ananiita hivyo yaan ila sawa nimeelewa ni sawa na kuna pori lingine ukienda kila kijana anakuita 'Father' hata km sio Padri unajikuta tu unaitwa Father Father
 
Back
Top Bottom