Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakataš na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake
Andika na hii ya mwisho, wapo wadada fulani wagalatia wanazaa na watu wakisema watalea wenyewe wakisema, wanazaa kwa faida zao ila malezi yakiwashinda wanaenda kule ustawi wa jamii kutaka matunzo ya mtoto na wakiwasema wanaume kwa ubaya na kuwadhalilisha huku walisema wanazaa kwa faida zao, wao ni wale superwoman hawamtegemei mtu mwanaume
Usisahau kumalizia na hii, wapo wadada pia wanachepuka na waume za watu na kuzaa nao wakiamini wale watu wataachana na wake zao mwisho wanabaki single mother wa kujitakia na wanatelekezwa na hao wanaume ili kulinda ndoa zao maana wakijulikana wana watoto nje kuna waka moto, kwahiyo wanaachilia nje ili kulinda ndoa zao halali hawa wanatelekezwa.