Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Asante sana kwa ushauri mkuu.
 
[emoji848][emoji848]
 
Umetisha sana mkuu, asante.
 
Huyo ndg wa huyo binti ni mtu ambaye namuamini sana. Hawezi kunishuhudia uongo. Hana sababu ya kufanya hivyo. Hata Binti mwenyewe, Kwa sisi wenye macho ya rohoni anaonekana ni mkweli kabisa.
Unamuamini, siku ya kwanza tu kamkabidhi binti kwako kama bidhaa na binti kakubali. Jiulize kabla yako ashakabidhiwa kwa wangapi. Binti anayejielewa hawezi kubali akabidhiwe tu kama mzigo. Tuliza akili acha pupa siku zote huwa anayekuliza ni yule unayemwamini usiyemwamini hawezi kukuliza maana humpi nafasi ya kufanya hivyo
 
Utakuja kujutia usipo tii sauti inayokupa amani juu ya hili! Binafsi nahisi MUNGU amejibu maombi yenu ninyi wawili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…