Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

🤣🤣🤣 Nakumbuka Kuna Uzi ulisema una Binti mlokole,ulisema Hajui hata Nini sijui 🤔🤔🤔(nimesahau kidogo)na wewe kakusaidia umeokoka na ukaapia hapa Kwa miungu yako kwamba hutokaa umcheat!Sasa mbona hata miezi 6 bado BOOM💥💥! imekaaje?
 
Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza kwenye comment yako mkuu. Ubarikiwe.
 
Mkuu bado hujawajua vizuri hawa viumbe.......... ukimpa sikio lako mwanamke yeyote yule ambaye umemtamani at the first place basi ujue umekwisha
Nakuhakikishia stori aliyokupa ukiigeuza kinyume chake ndio kweli

Hakuna mwanamke timamu mwenye digirii yake out of kazi zoote akachagua kuuza baa kujitafuta......

We ukitaka kumuoa uo tu, anaweza kukufaa au laa
Lakini usitumie huruma kumuona muhanga
 
Huu ni moja ya wakati ambao unatakiwa kuwa makini sana na maamuzi yako. Fatilia taratibu sana umjue upande wa pili. Jitahidi ujue kwanini aliachana na jamaa na kwanini jamaa alikataa kuzaa nae? lakini pia kwanini jamaa alimzuia kufanya kazi?

Hayo ni maswali marahisi sana kwa kuyatazama ila majibu yake yanaweza kukupa reflection tofauti kabisa.

Kwa bahati mbaya tunayo experience mbaya kuhusu baadhi ya wanawake wasomi, wengi wamejaa nyodo, majivuno, dharau, umalaya, ujuaji na kujiona kwingi.
Fatilia kwa makini sanaaa hii dunia ni ngumu
 
Umesomeka sana mkuu.
 
Share story yako walau kwa ufupi tu mkuu....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekusoma sana Good Father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…