Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kumbe jimbo liko wazi [emoji3]
 
Ni suala la muda tu nigga sina la kusema ishi kwa kuamin unachokiamini sisi yalitukuta tukayamaliza kiume na tukamove on bila kufungua uzi.
Kitendo tu cha kufungua uzi kwa situation uliopitia ndan ya masaa machache namna hioni jibu tosha kua hauko sawa kufanya maamuzi yako mwenyewe.
Pole sana mkuu.

Ila umeshawahi kuisikia methali ya zamani, "doctors differ, patients die"?
 
Sawa mama
 
Huyo alikuwa akijtambua.
Kwa hiyo wakati unataka kuliingizia dude likawa linakuchora tu bila ushauri wowote ili nawe uukanyage moto?
 
Usiamini maneno ya kuambiwa ebu fanya uchunguzi kwanza

Akunaga mtu anaeweza kukwambia upande wake mbaya sku zote mtu ukueleza upande wake mzuri na wakat mwingne hutafta huruma kwa kuongea upande wake wa mattzo tu

Unyonge wa wanaume ni pale anapokutana na binti mzr na binti uyo kuanza kueleza shida/mattzo hapo wanaume weng tunakuaga wanyonge
 
Hujitambui wewe 🚮
 
Usiamini kiumbe chochote kwenye hii sayari. Yaani mtu mmekutana baa, humjui unamchukua unapeleka nyumbani kwako, mbaya zaidi unamuacha anakupikia then wewe unakuja kula tu?
Kweli watu wengine mmeyachoka maisha yenu hapa duniani.
 
Hatukatai, bar made ni kazi lakini vitendo vya barmade wengi ndio wanaifanya hiyo kazi idharaulike kwa kujiuza. Kuna wengi tu hawana mambo hayo. Huyo dada kama hii story ni ya kweli,
kitendo cha kwenda nyumbani kwa huyo kaka kinatia shaka. Kwa mtu ambaye anajiheshimu hawezi kudhalilisha mwili wake kwa kujiuza.
 
Nimependa msamiati ulioutumia, "unyonge" [emoji28]
 
Ivi mpaka sasa kumbe bado mpo watu mnaoamini wanaofanya kazi bar ni malaya/wahuni!.. hiyo ni kazi kama kazi nyingine uhuni na umalaya ni hulka binafsi ya mtu sio kazi anayofanya tuelewane hapo...[emoji3578]
Tumeelewana mkuu [emoji1]
 
Usiamini kiumbe chochote kwenye hii sayari. Yaani mtu mmekutana baa, humjui unamchukua unapeleka nyumbani kwako, mbaya zaidi unamuacha anakupikia then wewe unakuja kula tu?
Kweli watu wengine mmeyachoka maisha yenu hapa duniani.
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…