Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kumshauri jamaa ajipe muda kumjua huyo mwanamke hiyo ni negative thought? Yaan watu wamekutana hata week hawana basi wachukuane tu? Na inataka hadi niwe ndani ya ndoa ndio nijue ni vizuri kumjua mtu angalau kidogo kabla ya kuingia kwenye ndoa? aisee kazi ni nzito.

Haya inawezekana kwako iko hivyo ila mtoa mada yeye atachagua ushauri anaoona unamfaa.
Kumbe jimbo liko wazi [emoji3]
 
Ni suala la muda tu nigga sina la kusema ishi kwa kuamin unachokiamini sisi yalitukuta tukayamaliza kiume na tukamove on bila kufungua uzi.
Kitendo tu cha kufungua uzi kwa situation uliopitia ndan ya masaa machache namna hioni jibu tosha kua hauko sawa kufanya maamuzi yako mwenyewe.
Pole sana mkuu.

Ila umeshawahi kuisikia methali ya zamani, "doctors differ, patients die"?
 
Nikae kimya? Hili ni jukwaa huru mzee. Kumshauri jamaa ajipe muda kumjua huyo mwanamke hiyo ni negative thought? Yaan watu wamekutana hata week hawana basi wachukuane tu? Na inataka hadi niwe ndani ya ndoa ndio nijue ni vizuri kumjua mtu angalau kidogo kabla ya kuingia kwenye ndoa? aisee kazi ni nzito.

Haya inawezekana kwako iko hivyo ila mtoa mada yeye atachagua ushauri anaoona unamfaa.
Sawa mama
 
🤣🤣🤣jumatatu ukienda kazin, hutokuta Kila kitu Ndani.

Bar Maid , hapelekwi nyumban.


Kama ulitaka kumjua, ungemjua akiwa Kwa Huyo best uliompita madarasa mawili.


Kila Bar Maid husema "ukija kunichukia ,Njoo na vipimo vya Ukimwi,".


Ukienda kweli Na Vipimo, anakupiga chenga !!


Mwanamke, Msomi ,mwenye kumcha Mungu, anayejua siku Moja anatakiwa kua Mke, ten mzuri mrefu ana shep.. hawezi Kaa kumtembelea Club au kufanya kazi hizo au kunywa mapombeeeee Kwa namna ulivyoelezea !!.



Umepigwa na kitu kizito.

Nakupa Stori, niliwah kutana na Demu kazin kwangu PISI PISI ,mchaga Mmoja mweupee, sura ya kisomali, nzurii, takoo na Shep Hilo.

Yule mwanamke akaniambiaga Amemaliza BAED -UDOM , huku alipona alikua kaolew, ila jamaa kamzengua kaamua kupanga.


Siku Moja nikamuita Lodge fulan hivi, tukala akanywa , Sasa Ile muda wa kulana ..

Kwanza picha linaanza Demu hataki kunyonyana midomo.

Demu hataki kupima oil

Demu anavuma nguo ila akabaki na kiblauzi juu, Nikamuuliza vipi? Kwann hutoi hiko kiblauzi chajuu??.


Akasema ohoo atatoa akitaka kuloga bafuni.


Sasa Mimi Kuna kitu nikishakinotice Kwa mwanamke tu basi nakua na hofu na mchezo unaishia hapo.


Nikawa nmejikaza nikasema kwakua navaa ndom Wacha nipige..

Nilivaa ndomu, ila kabla sijamuingizia paipu nikawa namgusa gusa kwenye maeneo ya MITOKI ( TEZI) ..kwapani, nyuma ya masikio, shingon ... Duuuh nikakuita Kuna MITOKI kwenye kwapa, na nyuma ya masikio, nikawa namdadisi kiujanja ujanja, akadai inamuda mrefu... ( Watu wenye maambukizi ya VVU wengi wanakuaga na MITOKI ya muda mrefu).


Basi nikasema Tena, kwakua na ndomu na kilainishi Wacha nipige tu.


Nikawa nmemuweka DOGGIE , ili kumuweka hiyo stail, kale kablauzi kakashuka Kwa chin kuelekea mabegan kwake.

Nikaona ana ALAMA kama ya kovu la kuungua moto Upande Mmoja WA kulia tu ( Kwa wale walowah kuona mgonjwa wa MKANDA WA JESHI, AKISHAPONA, Huwa kunabaki alama ya kovu).

Nikaunganisha Doti, ya MITOKI na hili la Kovu na Historia zake za UDOM

Nikajua huyu Demu ni MGONJWA .


Mboo ikalala, nikajifanya nmepata dharura, nikampa Hela ya Nauli Misimbazi mitatu, nikasepa.

Kesho yake nikamwambia, Tuonane nimebeba vipimo vya Ukimwi.

OYAAAA, ALINIKWEPAAAAA ...mpaka Leo .


Baada ya siku Kadhaa, nikajaga kuonana naye kwenye Bar Moja maarufu sana, Mimi nilienda kuchukua Kuku alokaangwa .

Demu akapita, ilikua usiku, nmevaa jaketi na kofia, hakunitambua.

Alikua kavaliaa kataiti chupi, alafu na t-shirt , akiashiria kua anajiuza na nimuhudumu wa pale.




.USIFANYE CHOCHOTE NA HUYO DEMU KAMA HUJAMJUA KWA KILA ENGOOO, UTAMUACHA MCHUMBA WA MAANA, UPIGWE NA KITU KIZITO.
Huyo alikuwa akijtambua.
Kwa hiyo wakati unataka kuliingizia dude likawa linakuchora tu bila ushauri wowote ili nawe uukanyage moto?
 
Usiamini maneno ya kuambiwa ebu fanya uchunguzi kwanza

Akunaga mtu anaeweza kukwambia upande wake mbaya sku zote mtu ukueleza upande wake mzuri na wakat mwingne hutafta huruma kwa kuongea upande wake wa mattzo tu

Unyonge wa wanaume ni pale anapokutana na binti mzr na binti uyo kuanza kueleza shida/mattzo hapo wanaume weng tunakuaga wanyonge
 
Wewe ni mgeni na wahudumu wa bar.... Utakuja kupigwa na kitu kizito!!! Yaani we umeopoa siku ya kwanza tu unajiona mjanja? Jiulize kabla yako wameopoa wangapi ndugu, na wote mmepewa story hio hio, hata kama maisha magumu kiasi Gani mwanamke anayejua thamani yake hawezi kufanya kazi bar, period!!!
Hujitambui wewe 🚮
 
U

Una utibitisho kuwa huyo dada ni Nungaembe?? Wanaume wengi ni women abusers , sishangai kuona single and divorced mothers , ata wewe inaonekana unaweza kukontrol ndugu/mtoto wako aoe nani😭upo una taka dunia yote ifuate unavyotaka wewe! Kuuza bar sio Umalaya na wala sio kuwa kila muza bar yupo anajiuza. Mimi ni kaka na mzazi sijawia ingilia mausiano ya ndugu wala mtoto wangu na sintopoteza muda katika hilo wapo free kuoa au kuolewa na wamatakae. Na iwapo wataachana na wenziwao nawapa ushauri na kuwatuliza.kuna watu nawajua mama zao walikuwa wauza bar wakaolewa wakazaliwa na sasa ni watu mashuhuli na wema kabisa hapa Tanzania. One of the biggest person na maharufu na ameliletea taifa la TZ sifa kubwa kwa utendaji wake wa kazi hapa TZ ameo former bar maid na wapo mpaka leo. Kama mke na mume na wana wajukuu. Wewe ishi kwa kukariri
Hatukatai, bar made ni kazi lakini vitendo vya barmade wengi ndio wanaifanya hiyo kazi idharaulike kwa kujiuza. Kuna wengi tu hawana mambo hayo. Huyo dada kama hii story ni ya kweli,
kitendo cha kwenda nyumbani kwa huyo kaka kinatia shaka. Kwa mtu ambaye anajiheshimu hawezi kudhalilisha mwili wake kwa kujiuza.
 
Usiamini maneno ya kuambiwa ebu fanya uchunguzi kwanza

Akunaga mtu anaeweza kukwambia upande wake mbaya sku zote mtu ukueleza upande wake mzuri na wakat mwingne hutafta huruma kwa kuongea upande wake wa mattzo tu

Unyonge wa wanaume ni pale anapokutana na binti mzr na binti uyo kuanza kueleza shida/mattzo hapo wanaume weng tunakuaga wanyonge
Nimependa msamiati ulioutumia, "unyonge" [emoji28]
 
Ivi mpaka sasa kumbe bado mpo watu mnaoamini wanaofanya kazi bar ni malaya/wahuni!.. hiyo ni kazi kama kazi nyingine uhuni na umalaya ni hulka binafsi ya mtu sio kazi anayofanya tuelewane hapo...[emoji3578]
Tumeelewana mkuu [emoji1]
 
Usiamini kiumbe chochote kwenye hii sayari. Yaani mtu mmekutana baa, humjui unamchukua unapeleka nyumbani kwako, mbaya zaidi unamuacha anakupikia then wewe unakuja kula tu?
Kweli watu wengine mmeyachoka maisha yenu hapa duniani.
Sawa
 
Back
Top Bottom