Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kwani bar Kuna tatizo gani kama sio wao wewe ungeenda hapo Nani akakupe huduma na usafi.
Acheni hulkq mbaya Hawa nao ni wafanyakazi na wanahitaji kuishi.
Tena ukiweza kumtoa hapo mahali utashangaa akawa mwanamke hasa wa kuishi.
Sio wote wako unavyodhania.
[emoji1666]
 
” Yesu akawaambia, “Nawaambieni kweli, watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia katika Ufalme wa Mungu.
 
Kwani bar Kuna tatizo gani kama sio wao wewe ungeenda hapo Nani akakupe huduma na usafi.
Acheni hulkq mbaya Hawa nao ni wafanyakazi na wanahitaji kuishi.
Tena ukiweza kumtoa hapo mahali utashangaa akawa mwanamke hasa wa kuishi.
Sio wote wako unavyodhania.
Waeleze mkuu!!!
 
Hii Trap mzee. Utapigwa tukuio hutokaa urudie tena. Wewe msaidie aende zake na uendelee kumfikiria huyo ulokua unamfikiria. Wanamake haswa hawa wakupatikana kwenye nyumba za Vileo na starehe sio wakuwaamini kamwe.
 
[emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji120][emoji120]
 
Waeleze mkuu!!!
Hahaa niliandika kule juu hakuna mtu atakupa ushauri tofauti na ambao ushajiamulia ukamuelewa. Mtu anaeomba ushauri huwa tayari ana maamuzi yake ila anataka aone nani na nani watamuunga mkono na si vinginevyo. Msalimie sana wifi.
 
Salamu zitamfikia bilashaka [emoji4]
 
Pamoja na ukongwe wangu JF since 2012, ila sijui namna ya kuweka update, nataka niwa-update kuhusiana na huu uzi wakuu, nafanyaje? [emoji28]

Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji2]
 
Back
Top Bottom