Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
Hii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!!
Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa kukutazama kiasi kwamba mpaka wewe ndio uanze kumuongelesha! Jamaa hacheki, amekunja ndita!
Kuna wafanya biashara kwakweli ukifika dukani/kazini kwao wanakuchangamkia mpaka unaona raha! Yani unaenda kuulizia bei tu, atakushawishi mpaka ununue!! wakarimu, wacheshi, wachangamfu safi sana! [emoji4][emoji4]
ona huyu sasa: napita mtaa flani hapo nakaona nichukue maji kwenye duka moja hivi, kwakuwa kapikipiki kangu ni kabovu bovu, nikabaki nimekashikilia ili kasizime!
nikamwambia jamaa niletee maji ya buku, jamaa akanitizama kwa dharau, akaweka headphone masikioni, akaketi kwenye kiti!
Watu wa aina hii naona wamekurupuka tu biashara sio fani zao.
TUJIFUNZE KUWA WAKARIMU KWA WATEJA WETU JAMANI