Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete).

Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta.

Chukua tahadhari.
 
Reactions: apk
Mbona mnatusingiziaga Wakinga?
 
Wanatapeli kwa staili gani toa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…