Uchaguzi 2020 Kuna wajibu wa serikali, CCM waelewe

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
513
Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani.
Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa wenyewe kifisadi. Ubungo exchange, sijui bwawa la la Nyerere, sijui nini? Huo ni wajibu wa serekali na sio fadhila kwa wananchi kwenye maeneo hiyo miradi inakopita.

Tangu Uhuru, kama nikuchelewesha au kusitotekeleza wajibu ni sahihi kuulizwa na kuwawajibisha CCM. Watanzania wenzangu, nchi hii haijawahi kuongozwa na chama tofauti na CCM. Kwa hiyo, wasije mbele ya watanzania kutwambia mmejenga hiki na kile. Tuambie hali ngumu vipi, nyongeza mlizominya vipi, Rushwa, watu kuumizwa na wasiojulikana, kukataza siasa, manunuzi ya vitu bila idhini ya bunge.

Na uchafu mwingine mwingine mwingine mpaka Leo. Swala la Richmond, EPA, IPTL, ESCROW mpaka leo hatujui Richmond alikua nani? Na hiyo kesi imeishia wapi, Escrow imeishia wapi? Hela zilikua za nani? Na waliopata ule mgao wako wapi? EPA ni kizungu mkuti mpaka leo hakieleweki. Mgodi wa Mwadui, Mgodi wa Mchuchuma makaa ya mawe hizi kesi zimeishia wapi?

Mimi hawa hawa CCM kila unapofika muda wa uchaguzi wanawalaghai watanzania na mambo raisi sana ambavyo ni wajibu wa serekali.
Siwezi nikasema nakupigia kura kwa kujenga barabara, ni wajibu wako ndio maana uliomba ridhaa ya kuongoza nchi.

NIWAJIBU WA CHAMA CHOCHOTE KUENDELEZA MAENDELEO YA NCHI, SIO KWA CCM TU. KANU KENYA ILIFANYA MAENDELEO YAKE JAPO KWA KIDUCHU ILA ALIPOKUJA MPINZANI, KENYA IMEENDELEA ZAIDI KULIKO WAKATI WA MOI NA KANU YAKE.

Wapambe na wanaojali matumbo yao na vyeo vyao serekali na ndani ya CCM watapinga sana mabadiliko, sio kwasababu ni mabaya lahasha, ni kwa kulinda matumbo yao. Na ni wachache na kwavile wana dola, watazunguka sana nchi nzima kuwaaminisha watanzania wapumbavu kuwa CCM ni bora kuliko upinzani. Baada ya uchaguzi kupita, ndio wa kwanza kulalamika dhidi ya hali ya maisha ilivyo ngumu.

UNAFIKI NA WANAFIKI NI WENGI MNO. EE MUNGU TUSAIDIE
 
Chama kitakachoshinda uchaguzi, ndicho kitakacho unda serikali. CCM ndio chama kilichoshinda, hivyo huwezi tofautisha CCM na serikali, kwani serikali inaendeshwa na ilani ya CCM.
 
Hoja ni kwamba, CCM wasichukulie kwamba kujenga barabara, Reli, kununua ndege ni fadhira kwa wananchi wa Tanzania. CCM inaaminisha wapiga kura kwamba bila ccm hakutokua barabara, zahanati, sijui Reli na mengine hayo. Niuongo na ulaghai wa hali ya juu. Serekali ya ccm ina wajibu huo wakufanya yao yote kwa nchi wanayoipngoza.

Waliomba ridha 2015, kufananya hayo. Sasa kwavile wanadola, wanaanza kutwambia ukichagua upinzani sikuletee barabara, zahanati, au maendeleo yeyote, sasa huo ndo ulevi wa madaraka na kiongozi anasahau kwamba ni wajibu wake kuleta maendeleo kila kona ya Tanzania.
 
serikali ya ccm unadhani tuna wajibu wa kuisifia kwa kila kitu hata ikiua watu
 
Usitulete kiherehere cjako
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege.
 
Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani.
Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa wenyewe kifisadi. Ubungo exchange, sijui bwawa la la Nyerere, sijui nini? Huo ni wajibu wa serekali na sio fadhila kwa wananchi kwenye maeneo hiyo miradi inakopita.

Tangu Uhuru, kama nikuchelewesha au kusitotekeleza wajibu ni sahihi kuulizwa na kuwawajibisha CCM. Watanzania wenzangu, nchi hii haijawahi kuongozwa na chama tofauti na CCM. Kwa hiyo, wasije mbele ya watanzania kutwambia mmejenga hiki na kile. Tuambie hali ngumu vipi, nyongeza mlizominya vipi, Rushwa, watu kuumizwa na wasiojulikana, kukataza siasa, manunuzi ya vitu bila idhini ya bunge.

Na uchafu mwingine mwingine mwingine mpaka Leo. Swala la Richmond, EPA, IPTL, ESCROW mpaka leo hatujui Richmond alikua nani? Na hiyo kesi imeishia wapi, Escrow imeishia wapi? Hela zilikua za nani? Na waliopata ule mgao wako wapi? EPA ni kizungu mkuti mpaka leo hakieleweki. Mgodi wa Mwadui, Mgodi wa Mchuchuma makaa ya mawe hizi kesi zimeishia wapi?

Mimi hawa hawa CCM kila unapofika muda wa uchaguzi wanawalaghai watanzania na mambo raisi sana ambavyo ni wajibu wa serekali.
Siwezi nikasema nakupigia kura kwa kujenga barabara, ni wajibu wako ndio maana uliomba ridhaa ya kuongoza nchi.

NIWAJIBU WA CHAMA CHOCHOTE KUENDELEZA MAENDELEO YA NCHI, SIO KWA CCM TU. KANU KENYA ILIFANYA MAENDELEO YAKE JAPO KWA KIDUCHU ILA ALIPOKUJA MPINZANI, KENYA IMEENDELEA ZAIDI KULIKO WAKATI WA MOI NA KANU YAKE.

Wapambe na wanaojali matumbo yao na vyeo vyao serekali na ndani ya CCM watapinga sana mabadiliko, sio kwasababu ni mabaya lahasha, ni kwa kulinda matumbo yao. Na ni wachache na kwavile wana dola, watazunguka sana nchi nzima kuwaaminisha watanzania wapumbavu kuwa CCM ni bora kuliko upinzani. Baada ya uchaguzi kupita, ndio wa kwanza kulalamika dhidi ya hali ya maisha ilivyo ngumu.

UNAFIKI NA WANAFIKI NI WENGI MNO. EE MUNGU TUSAIDIE
Kuna mtu alikuwa anajilimbikizia mali wakati watanzania walipokuwa wakimsifia, sasa ni wakati wa kumweka wazi na kumchukulia hatu stahiki.
 
Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao.
 
Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani.
Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa wenyewe kifisadi. Ubungo exchange, sijui bwawa la la Nyerere, sijui nini? Huo ni wajibu wa serekali na sio fadhila kwa wananchi kwenye maeneo hiyo miradi inakopita.

Tangu Uhuru, kama nikuchelewesha au kusitotekeleza wajibu ni sahihi kuulizwa na kuwawajibisha CCM. Watanzania wenzangu, nchi hii haijawahi kuongozwa na chama tofauti na CCM. Kwa hiyo, wasije mbele ya watanzania kutwambia mmejenga hiki na kile. Tuambie hali ngumu vipi, nyongeza mlizominya vipi, Rushwa, watu kuumizwa na wasiojulikana, kukataza siasa, manunuzi ya vitu bila idhini ya bunge.

Na uchafu mwingine mwingine mwingine mpaka Leo. Swala la Richmond, EPA, IPTL, ESCROW mpaka leo hatujui Richmond alikua nani? Na hiyo kesi imeishia wapi, Escrow imeishia wapi? Hela zilikua za nani? Na waliopata ule mgao wako wapi? EPA ni kizungu mkuti mpaka leo hakieleweki. Mgodi wa Mwadui, Mgodi wa Mchuchuma makaa ya mawe hizi kesi zimeishia wapi?

Mimi hawa hawa CCM kila unapofika muda wa uchaguzi wanawalaghai watanzania na mambo raisi sana ambavyo ni wajibu wa serekali.
Siwezi nikasema nakupigia kura kwa kujenga barabara, ni wajibu wako ndio maana uliomba ridhaa ya kuongoza nchi.

NIWAJIBU WA CHAMA CHOCHOTE KUENDELEZA MAENDELEO YA NCHI, SIO KWA CCM TU. KANU KENYA ILIFANYA MAENDELEO YAKE JAPO KWA KIDUCHU ILA ALIPOKUJA MPINZANI, KENYA IMEENDELEA ZAIDI KULIKO WAKATI WA MOI NA KANU YAKE.

Wapambe na wanaojali matumbo yao na vyeo vyao serekali na ndani ya CCM watapinga sana mabadiliko, sio kwasababu ni mabaya lahasha, ni kwa kulinda matumbo yao. Na ni wachache na kwavile wana dola, watazunguka sana nchi nzima kuwaaminisha watanzania wapumbavu kuwa CCM ni bora kuliko upinzani. Baada ya uchaguzi kupita, ndio wa kwanza kulalamika dhidi ya hali ya maisha ilivyo ngumu.

UNAFIKI NA WANAFIKI NI WENGI MNO. EE MUNGU TUSAIDIE

Tukiacha kama ni wajibu kwa kusingizia kuwa walipo ondoka wakoloni nchi ilikuwa pori ni upofu, hawajui ya kwamba hizo fedha wanazo tumia kujenga nchi ni kodi za watanzania na rasilimali, hivyo kama serikali ni wajibu kuijenga nchi popote pale Tanzania bila ya tabaka.

Leo hii wanakuja na vitisho eti tusipo wachagua tutajutia, tutajutia pale tutakapo wachagua badala yake, tumechoka na siasa chafu na wizi ulio vuka mipaka pamoja na uvunjwaji wa haki za binadamu. Mwenye nguvu apishwe?

28/10 sio mbali, nimebahatika kutembea nchi zenye uchumi mkubwa na maendeleo, na still wananchi wanaviondoa vyama tawala madarakani. Hatuangalii nini umefanya, wana angalia maisha yao binafsi kila mwananchi kwa kipindi ambacho utakacho kuwepo madarakani, huwezi niambia miaka 5 utanijengea barabara, wakati sina ajira, kila miaka ikienda sina ajira, mwanangu sijui atapata wapi elimu na huduma ya afya. Wapi nitapata maji, nimechoka kubeba ndoo.

Infrastructure ni wajibu wa serikali , ila suala la ajira ni political kama huwezi kulitatua basi sikupi kura miaka hii mitano. Unataka niwe mkabaji? How about you?
 
Kwani yalikuwepo yote kwa wakati mmoja?.yaani elimu bure shule kongwe kupata maboresho mapya, Majengo mapya na vifaa vya hospital,hapo nyuma mtuvkupigwa x-ray au utra sound lilukuwa Jambo Kubwa Sana kwa hospital za wilaya,Tarura kuwajibika Kila mtaa kuchongewa au kuweka lami,Kutokana na kero za foleni kuwekwa fry over interchange ili kupunguza foleni.
Gari huanzia 10mil ikiwa mpya na chini ya hapo ikitumika ukishakuwa na gari utaelewa tuna maanisha Nini? Au ukianza kujitegemea ndio utajua foleni zilikuwa zina tugharim kiasi gani.
 
Back
Top Bottom