Kuna wajumbe 7 "vihiyo" katika bunge la katiba!?

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!

Inaelekea ni wale wale walioharibu kura jana wameharibu tena leo!

Wajumbe jichunguzeni vinginevyo hao 7 watalidhililisha bunge hilo"
 
waharibu kura ni makonda simiyu yetu nkamia lameck airo serukamba majimarefu na komba.
 
1. Lowasa
2. Makamba
3. Shelukindo
4. Ngereja
5. Lusinde
6. Mwigullu
7. Wasira
 
Wakianza kupiga kura za wazi tutawagundua tu, tuvute subira.
 
Nina wasiwasi kuna wabunge/wajumbe hawajui kuandika na nina imani wengi watakuwa Chadema
 
Juzi wakati Chadema wanapitisha mbunge wao Chalinze zaidi ya kura 40 ziliaharibika nako huko kumejaa vihiyo.
 
Kwi kwii kwiiii,mkuu Ritz ninaimani kura ya Kasulambai,Sugu,Chiku Abwao zimeharabika
 
We kweli Kilaza ok vipi hali ya mwalimu mwenzio Mke wa Mangula? Ulisema ana malaria anarnndeleaje?
 
Unacheka cheka tayari kitu kineingia nini?

Bunge la katiba kuna wezi hadi wa ipad na simu.. Makonda et...
 
Mwalimu ni Mohamedi Mtoi shule ya kata pale Tanga Mjini lakini kila siku mnashinda wote Ufipa.
 
Last edited by a moderator:
Unacheka cheka tayari kitu kineingia nini?

Bunge la katiba kuna wezi hadi wa ipad na simu.. Makonda et...

Kimeingia kwa dada yako na hapa anataja miungu na mizimu ya kwenu yote
 
Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!

Inaelekea ni wale wale walioharibu kura jana wameharibu tena leo!

Wajumbe jichunguzeni vinginevyo hao 7 watalidhililisha bunge hilo"

Mwenyekiti na Makamo wake ni kambi moja na hao saba ni kambi moja basi!
Kutia tiki si lazima uende shule.
 
Back
Top Bottom