Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!
Inaelekea ni wale wale walioharibu kura jana wameharibu tena leo!
Wajumbe jichunguzeni vinginevyo hao 7 watalidhililisha bunge hilo"
Nina wasiwasi kuna wabunge/wajumbe hawajui kuandika na nina imani wengi watakuwa Chadema
Juzi wakati Chadema wanapitisha mbunge wao Chalinze zaidi ya kura 40 ziliaharibika nako huko kumejaa vihiyo.
We kweli Kilaza ok vipi hali ya mwalimu mwenzio Mke wa Mangula? Ulisema ana malaria anarnndeleaje?Juzi wakati Chadema wanapitisha mbunge wao Chalinze zaidi ya kura 40 ziliaharibika nako huko kumejaa vihiyo.
Unacheka cheka tayari kitu kineingia nini?Kwi kwii kwiiii,mkuu Ritz ninaimani kura ya Kasulambai,Sugu,Chiku Abwao zimeharabika
Mwalimu ni Mohamedi Mtoi shule ya kata pale Tanga Mjini lakini kila siku mnashinda wote Ufipa.We kweli Kilaza ok vipi hali ya mwalimu mwenzio Mke wa Mangula? Ulisema ana malaria anarnndeleaje?
Unacheka cheka tayari kitu kineingia nini?
Bunge la katiba kuna wezi hadi wa ipad na simu.. Makonda et...
Hii ANALYSIS yako kiboko
Kimeingia kwa dada yako na hapa anataja miungu na mizimu ya kwenu yote
Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!
Inaelekea ni wale wale walioharibu kura jana wameharibu tena leo!
Wajumbe jichunguzeni vinginevyo hao 7 watalidhililisha bunge hilo"
Mwalimu ni Mohamedi Mtoi shule ya kata pale Tanga Mjini lakini kila siku mnashinda wote Ufipa.