nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hayo yote KAMWE usije ukakubali kuwa Chawa ili mkono uende kinywani. Muombe MUNGU saaaanaYani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Ukifika 50 utaona yote ni batili,kuanzia utafutaji pesa,kukuza career na hata familia.Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Bora uzima na afya
Hiyo never mkuuPamoja na hayo yote KAMWE usije ukakubali kuwa Chawa ili mkono uende kinywani. Muombe MUNGU saaaana
Hivi hii kwanini mkuuUkifika 50 utaona yote ni batili,kuanzia utafutaji pesa,kukuza career na hata familia.
Maisha ni usenge sana.
HakikaAfya Kama IPO mshukuru MUNGU
Mungu anashukuriwa mkuu hili la msingi kila siku mada iliyopo ni flow ya pesaAfya Kama IPO mshukuru MUNGU
Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Sali mkuuYani kama mie sahivi walah yamenisimamia na ukucha, ilimradi tu niteseke 😔
Polee sanaaYani kama mie sahivi walah yamenisimamia na ukucha, ilimradi tu niteseke 😔
SawaBora kwako huwa ni kipindi Fulani....ila Kuna wengine Kila siku kwao ni changamoto
Usikate tamaa endelea kupambana
Afya ndo kila kitu mkuu....Mungu anashukuriwa mkuu hili la msingi kila siku mada iliyopo ni flow ya pesa
Sala haileti maokoto lakini....labda kwa manabii.Sali mkuu