Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

Yani kama mie sahivi walah yamenisimamia na ukucha, ilimradi tu niteseke 😔
Mkuu usiwaze hivyo unakosea sana, jitahidi uwaze vyema na jifunze kuwaza fresh bila kujalisha hali.

Hali unayopitia sio mateso ni mafunzo. Ukijifunza na ukielewa somo inapita ila kama hujaelewa somo linarudi tena na tena.
 
Back
Top Bottom