Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

Yaani acha kabisa mwezi ulio ishia nilianza kuweka akiba mamb yakawa yanaenda vzr ilikuwa kila siku naweka gafla mamb yaka badirika pesa ikateketea yote
Sijui hata tufanyaje, ukiweka lazima lije dude lichukue akiba, ni heri kuwekeza tu kuliko kuiweka pesa inakutizama huko benki.
 
Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Hiyo ndio maana ya maisha. Hauwezi kuwa na raha siku zote bila nyakati za shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…