Kuna wakati nachukia MIJANADUME

Kuna wakati nachukia MIJANADUME

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,330
Reaction score
324
Sio vibaya ukiweka neno hapa..
Imgekua Binti yako ungefanyaje?

attachment.php
 
Aisee nilifikiri amembeba mdogo wake, kwa kweli imenisikitisha sana
 
Leo hii nimeshuudia mbaba akija na katoto (mjukuuu) pale Luxuary ya hapa Mbezi mwisho, katoto kakaanza kuogelea then anakaagizia (waini) kwa kweli sikuweza kuamini macho yangu, anakatomasa tena na tena kweli mjini sio kuzuri:alien:
 
Aisee nilifikiri amembeba mdogo wake, kwa kweli imenisikitisha sana

Mkuu acha tu. yaani nina Binti yangu kana 10 yrs now.. Nikikaaangalia haka duh.. Naumia sana.. Cjui huyo Dume nyege pori yuko tinamu!!!!?
 
duh kweli kuna watu wana mapepo ya ngono kha, mambo haya yanakera kweli na yanatuharibia vibint vyetu haswa, mie hapa jiran kuna kabint ndio kamefikisha miaka 17 saa hz kamezalishwa na mdingi mkubwa zaid ya baba ake, na jitu lenyewe lina family yake na watoto kama huyo bint, nahc jamii nayo inahusika kufanya mijitu hii iharib viroto hv coz kama huyu wa hapa kwetu hana hata aibu mchana kweupee anakuja hapa, hl ni tatzo kwa kweli.............
 
Mkuu acha tu. yaani nina Binti yangu kana 10 yrs now.. Nikikaaangalia haka duh.. Naumia sana.. Cjui huyo Dume nyege pori yuko tinamu!!!!?

Kuna mijitu mkuu inaudhi sana, unaweza kujikuta unaua mtu hivihivi.Tuombe tu mambo kama haya yapite mbali
 
duh kweli kuna watu wana mapepo ya ngono kha, mambo haya yanakera kweli na yanatuharibia vibint vyetu haswa, mie hapa jiran kuna kabint ndio kamefikisha miaka 17 saa hz kamezalishwa na mdingi mkubwa zaid ya baba ake, na jitu lenyewe lina family yake na watoto kama huyo bint, nahc jamii nayo inahusika kufanya mijitu hii iharib viroto hv coz kama huyu wa hapa kwetu hana hata aibu mchana kweupee anakuja hapa, hl ni tatzo kwa kweli.............

Nakubaliana nawe Nambe, hizo sio akili za kawaida kabisa! Ni uhayawani kabisa. Inakuwaje mtu mzima
na familia yake kwenda kumzalisha mtoto wa mwenzie tena aliye sawa na wanae wa kuwazaa? Wanyama ndio wanafanya hivyo. Dunia imeharibika! Eeeh Mola tunusuru!
 
Last edited by a moderator:
unawezakuta kapewa mimba na kadogoo mwezake wa dalasa la pili ilimradi kawe kamebarehe sasa kwanini unawachukia wanaume?!!!!
 
Wanaume wengine wanapepo wa ngono,sasa hicho kitoto kidogo kama bint yake anawezaje kukivulia nguo,kweli watu wengine ni mapepo.
 
Back
Top Bottom