Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
 
Tukiwaambia acheni bangi hamsikii ....matokeo ya kuvuta bangi na jua kali ndo haya 🤣
 
Nyimbo yangu pendwa kutoka kwa T.I.D ni "Nyota" zikifuatiwa na nyingine zote alizoimba.
 
Back
Top Bottom