Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
JAPANESE UNCENSOREDKuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
"The smartest artist on earth" is an overstretch ...Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
Msanii gani sahvi anaimba kama walivyokuwa wakiimba wakina TID,miziki yao mpaka leo inaishiTID wa kawaida sana. Sema aliotea kipindi Tanzania wasanii na studio zipo chache.
Nyimbo kama Girlfriend na Zeze kabebwa na Mo.
is the smartest artist on earth🥺🥺🥺🤔🤔🤣🤣🤣🤣Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth