- Thread starter
- #21
Asante kwa maelezoMale sex identified by global COVID-19 meta-analysis as a risk factor for death and ITU admission...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa maelezoMale sex identified by global COVID-19 meta-analysis as a risk factor for death and ITU admission...
Kuna nyingine tena kumbe?Mimi nilichosikia ni kwamba hii corona ni kwaajili yakupunguza population na walitageti wanaume zaidi yaani kama mwanaume atapata corona...
Umefuatilia sana ugonjwa wa Korona tangu uingie.Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!....
Ilimradi na wewe ukosoe! Haya tusaidie kutuelewesha basi kwann iko hivyoUmefuatilia sana ugonjwa wa Korona tangu uingie...
DuhKWA MAKISIO TU, MWANAUME MMOJA MWENYE KIPATO CHA UHAKIKA,ANA HUDUMIA WANAWAKE WATANO.
KINGA ZA MWILI LAZIMA ZIWE CHINI, UNYUMBA SIO KAZI NDOGO.
AiseeKuna utafiti ulifanywa USA ambao ulionyesha wengi waliokufa ni wanaume.
![]()
Injecting MEN with progesterone could reduce COVID-19 severity
The finding by researchers from California follows multiple reports that men are at a higher risk of severe illness and death from coronavirus than women.www.dailymail.co.uk
Moja ya sababu nadhani ni activeness Kama watu walivyorespond.Wanaume wengi wakitoka kazini anakuwa idle lakini mama anakuwa busy na shughuli za hapa na pale nyumbani.His observation inahitaji utafiti zaidii; ni kweli wanaume wengi wanakufa kwa corona kuliko wanawake, lazima kutakuwa na sababu za kisayansi!
Kila mwanaume anafanya kazi kiyoyozini?Nadhani wanawake wengi wapo active kwa kuwa wanafanya lots of domestic work nyumbani na hivyo wamedevelop kinga za kutosha mwilini.
Wanaume walio wengi cycle yao ni kwenda job asubuhi (kwenye kiyoyozi), ofisini full time jioni kwenye bia then home.
Sina data lakini ni wazi watu walio active (bodaboda boys, wamachinga, footballers etc) Covid19 haiwaui. Ndio maana hata akina Ronaldo, Aguero, Pogba etc etc walicontract ila wakarudi uwanjani baada ya siku 10 tu.
Mimi nilichosikia ni kwamba hii corona ni kwaajili yakupunguza population na walitageti wanaume zaidi yaani kama mwanaume atapata corona na akapona uwezo wake wakushiriki ngono unathirika na atashindwa kuzalisha bado nafatilia pia mbona watoto wanakuwa wabebaji wa virus na wao hawadhuriki ila hii iliyoaanzia Brazil hiyo imeanza kuuwa hadi watoto ......pia wengine wanasema it is all about nature ,always fighting but the strongest survive nikachukua points chache
OohCorona haipo, corona ni ugonjwa wa kisaikolojia zaidi