Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One leo wanaume wanafariki mapema, wanatafuta pesa na kutoka nje ya ndoa na kuhonga na kuacha kufanya mambo ya maana.
Kuna usaliti,ubarhirifu unaotokana na ubinafsi. Laity kila mwanaume angekuwa na wanawake wake watatu au wanne akawa anawalimda na yeye analidwa basi tungeishi kwa amani na wanaume wetu