Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

IMG-20240324-WA0793.jpg
 
Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara.
Uchumi
Mahusiano

Basi tu
Ni nyakati tu, zote zinapita na kubadilika.
Huwezi kuheshimu shibe kama huijui vizuri njaa, huwezi kuappreciate upendo kama hujawahi kutengwa kwa chuki.
Huwezi furahia vizuri afya njema kama huyajui maumivu ya magonjwa.

Katika yote ishi.
 
Back
Top Bottom