Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Life#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia, achukue hii.Jenga uchumi kwanza achana na mahusiano. Utanishukuru
ndio maana yakaitwa maisha, kupanda na kushukaKuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara.
Uchumi
Mahusiano
Basi tu
HakikaNdo maisha mdau usikate tamaa endelea kupambana ....
Mwenyezi Mungu akupiganieNdo hali napitia tokea nianze kujitambua
I feel like there's something missing
Nina wazo jinsi ya kutoka hapo, ila ni ngumu
Niambie chochotePerfect [emoji3577]
Kuhusu nini ndugu?Niambie chochote
Ushajua cha kunambia njoo kuleKuhusu nini ndugu?
Hapana mi nilishamaliza...kama hamkumalizana hiyo ni nyie sasaUshajua cha kunambia njoo kule
Mkuu tupo weng kwenye hili..Napitia hiyo hali saiv