Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu.
Kuna siku nimemwambia wife jiandae nataka tutoke kidogo, masaa zaidi ya mawili anajipodoa tu mimekaa namsubiri siakatoka chumbani sasa aiseeh nilitamani kumpiga makofi.
Sasa mama hayo ni manini umenipakia? Kawa kama jini nsiyuka, ananiambia mwanamke bila make up hainogi nikamwambia kanitolee mauchafu yako hapa.
Hiyo picha hapo chini ni mwanamuzi wa bongofleva, babiemina siku ya kilele cha shindano la malkia wa nguvu.